Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 444
Kiukweli kuna baadhi ya mambo wanakosea,, ila binafsi nazipenda sana sheria za Talban huwezi kuona mambo yakijinga kama Nchi nyingine...Taliban watoa uamuzi mpya katika jimbo la Balkh, Afghanistan, wakisema kuwa wanawake hawaruhusiwi kuwatembelea madaktari wa kiume !!
Kumbuka kwamba hakuna elimu kwa wanawake pia kutokana na Taliban kukataa wanawake wasisome, kwa hivyo hakuna madaktari wa kike pia !!View attachment 2475211
Kabla ya nguo kuvaliwa ama kugunduliwa so walikuwa hawatembei nyonyo nje nje ama wao dunia yao imeumbwa ngozi zipo za kujifunika.Koran ndio inatoa miongozo yote Afghanistan.
Siku 475 tangu #Taliban KUPIGA MARUFUKU wasichana kwenda shuleni na siku 18 tangu Taliban KUWAPIGA MARUFUKU wanawake kwenda chuo kikuu.Koran ndio inatoa miongozo yote Afghanistan.
Unajua najaribu kujiuliza haya makatazo ya Taliban kwa jinsia ya kike nchini Afghanistan yanafuata haki na maendeleo ya wanawake kiujumla au ndio yale yale ya mwanamke ni chombo Cha starehe tu?!Taliban watoa uamuzi mpya katika jimbo la Balkh, Afghanistan, wakisema kuwa wanawake hawaruhusiwi kuwatembelea madaktari wa kiume !!
Kumbuka kwamba hakuna elimu kwa wanawake pia kutokana na Taliban kukataa wanawake wasisome, kwa hivyo hakuna madaktari wa kike pia !!View attachment 2475211
Mimi na walioangalia mdahalo aljazeera baina ya Waziri wa elimu Taliban na mwanaharakati wa elimu kwa wasichana afghanistanKwaio ni wewe pekee unayejua kuwa Taliban hawajakataa wanawake wasisome?
Taliban ndio nchi sahihi kuishi na kuwa mume wa wake wanneTaliban watoa uamuzi mpya katika jimbo la Balkh, Afghanistan, wakisema kuwa wanawake hawaruhusiwi kuwatembelea madaktari wa kiume !!
Kumbuka kwamba hakuna elimu kwa wanawake pia kutokana na Taliban kukataa wanawake wasisome, kwa hivyo hakuna madaktari wa kike pia !!View attachment 2475211
Vitabu gani vinasema hivyo?Hao watu walivyovaa aisee,hayo si ni mateso.
Ila safi waache wafuate miongozo yao,vitabu vyao vinasema hivyo,acha iwe hivyo hivyo tu,na waislamu wa bongo nao waige hivyo
Ficha ujinga wako.Msiwalaumu Taliban. Wanaofuata muongozo wa kitabu kilichoshushwa na kupokelewa na mtu ambaye hakusoma. Hivyo tafsiri ya mambo mbalimbali kwa kuwa hakusoma alitafsiri kulingana na upeo wake. Imekuwa hivyo hivyo kwa wafuasi wake elimu sio vipaumbele vyao. KAMA ALIVYO MWALIMU NDIVYO ALIVYO NA MWANAFUNZI
Hao 'Taliban' ndio tafsiri sahihi ya ukafiri.Imani ikitafsiriwa ndivyo sivyo hugeuka kuwa mzigo mzito usiobebeka
HAWA LABDA WAMEJAMBWA, HAWANA MAMA PENGINE.SHETANI ANAEWATUMIA NAONA HUWABAKA KWANZA AKILI ZAO ZIMEWAHAMA KABISA.These guys are idiot (not the religion) ,elimu yao haiwasaidii hata kuwaza vitu vya kawaida. Labda kama wanawake kwao ni kama sisimizi ambayo unaweza kukanyaga bila kujua unaendelea na safari
Dini ni kaburi la utudini ni mzigo mzito , wahovyo na waajabu mno