TAAKUUKUURUUU ni li mbwa lililochoka limevimbiwa minyama linajamba jamba tu na limekosa mwelekeo kabisaaa, kuna mambo yanafikirisha sana hawa jamaa wanalipwa na kodi za wananchi lakini sijawasikia wakifanya kweli kushughulikia mauzauza yanayoendelea huko Tanzania, kimsingi bora hata yule mjeda mara mia nane kuliko huyo polisi mwarabu hamna kitu kabisa tangu aingie ni uozo tu shame kabisa utaskia sijui wamekamata nesi na panadol nne , sijui mwalimu kala hela ya dawati moja wakati CAG kaffumua mauozo chungu nzima sasa unajiuliza hawa jamaa wanafanyaga nini