KATAVI- Kituo kipya cha kazi! naombeni ushauri

KATAVI- Kituo kipya cha kazi! naombeni ushauri

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
334
Reaction score
59
Ndugu zangu ..naombeni ushauri wenu! mdogo wangu amepangiwa katavi kama kituo chake cha kazi- ni pale pale makao makuu ya mkoa...je ni fursa gani zilizopo pale? vipi kuhusu huduma za msingi kama nyumba ya kupanga maji na umeme! gharama za maisha kwa ujumla sababu mshahara wake ni mdogo TGS D...naombeni sana wanajamvi mliopo katavi au mliowahi kuishi katavi mtushauri ukizingatia huu ni mkoa mpya
 
ndugu zangu ..naombeni ushauri wenu! Mdogo wangu amepangiwa katavi kama kituo chake cha kazi- ni pale pale makao makuu ya mkoa...je ni fursa gani zilizopo pale? Vipi kuhusu huduma za msingi kama nyumba ya kupanga maji na umeme! Gharama za maisha kwa ujumla sababu mshahara wake ni mdogo tgs d...naombeni sana wanajamvi mliopo katavi au mliowahi kuishi katavi mtushauri ukizingatia huu ni mkoa mpya

cc:waziri mkuu
 
Kule wazee wa kushika jembe tu.lakini hata pesa hulima.
 
Katavi ni mkoa mpya. Fursa kwenye mikoa mipya ni nyingi. Kilimo, biashara n.k.

Nenda kafanye kazi, usidanganyike na Maghorofa na bahari.
 
Ndugu zangu ..naombeni ushauri wenu! mdogo wangu amepangiwa katavi kama kituo chake cha kazi- ni pale pale makao makuu ya mkoa...je ni fursa gani zilizopo pale? vipi kuhusu huduma za msingi kama nyumba ya kupanga maji na umeme! gharama za maisha kwa ujumla sababu mshahara wake ni mdogo TGS D...naombeni sana wanajamvi mliopo katavi au mliowahi kuishi katavi mtushauri ukizingatia huu ni mkoa mpya

mi nashauri aende tu akafanye kazi. Kwa mshahara wa Tgs D utamuwezesha kujikimu huku akiendelea kucheki fursa zingine.
 
nashauri aende akafanye kazi. Kwa mshahara wa tgs D ataweza kujikimu huku akiendelea kuangalia fursa zingine.
 
Basi nkafkir Katavi ndio kahamishwa kituo cha kazi sijawahi jua kama katavi ni jina la mahali
 
Last edited by a moderator:
kabla ya ushauri wangu Napenda kujua kwenye barua yake ya kuomba kazi na kwenye interview yeye aliomba kufanya kazi mkoa gani?
 
kabla ya ushauri wangu Napenda kujua kwenye barua yake ya kuomba kazi na kwenye interview yeye aliomba kufanya kazi mkoa gani?

Kwenye interview hakuulizwa mkoa wa kufanyia kazi na wala nafasi aliyoomba haikuelezwa kuwa ni ya mkoa wa katavi
 
huyo atakuwa mtumishi mpya wa jana waliopangiwa, aende tu akapambane, hata kwa mshahara huo ataishi kama mtu mwenye kujielewa, kwa sababu hata akilipwa mil 2 bado inategemea na akili za mtu.
 
huyo atakuwa mtumishi mpya wa jana waliopangiwa, aende tu akapambane, hata kwa mshahara huo ataishi kama mtu mwenye kujielewa, kwa sababu hata akilipwa mil 2 bado inategemea na akili za mtu.

na je ukitaka kuomba kubadilishiwa kituo cha kazi ni utaratibu gani unaufanya?
 
Mwambie aende wala asisite hata kidogo hapo ndipo ilipo bahati yake ya kutengeneza hela.
Ila afahamu kuwa maisha siku hizi si kutegemea mshahara bali mafanikio yake yatategemea ushapu wake na kujiamini kuchangamkia fursa za biashara atakazo zikuta bila kuchagua ili mradi ni biashara halali.
Binafsi nilisha fanya kazi mikoa ni na dar ila ukinieleza kurudi dar nafikiria kuacha kazi.

Nilianzia dar nilipohamishiwa singida nilitamani kuacha ila nikapata washauri wazuri nikafanyia kazi mawazo yao nikajitosa kwenye biashara nikapiga hela nikanyanyua nyumba 2 ndani ya miaka 2 nikapigwa majungu kwa mwajiri nimehamishiwa kigoma huku ndo balaa nilianza biashara ya kununua na kuuza mazao kama mihogo baadae nimepata biashara ya kununua ng'ombe burundi naingiza kigoma

Mshahara siujui kazi ya mwajiri nafanya maisha yanaenda
 
Ndugu zangu ..naombeni ushauri wenu! mdogo wangu amepangiwa katavi kama kituo chake cha kazi- ni pale pale makao makuu ya mkoa...je ni fursa gani zilizopo pale? vipi kuhusu huduma za msingi kama nyumba ya kupanga maji na umeme! gharama za maisha kwa ujumla sababu mshahara wake ni mdogo TGS D...naombeni sana wanajamvi mliopo katavi au mliowahi kuishi katavi mtushauri ukizingatia huu ni mkoa mpya

Nilikuwepo katavi mwezi uliopita, fursa zipo nyingi ila inategemea na vision ya dogo, fursa nyingi kule ni za kibiashara, hali ya vyakula ni nzuri sana kuliko mikoa mingine, hali ya hewa sio baridi wala joto sana. kuna mtaa mmoja maarufu sana unaitwa Uwanja wa fisi ni kama ohio. ila dogo akitulia tapiga sana hela ni yeye kuipeleka akili yake mbio, akilemaa anaangukia kwa akina dada wa kinyamwezi au congo hapo ndo hatatoka kabisa
 
Katavi pita hapa mpnz. ila ukarimu wako wa kukarbisha wageni uwe makini nao.
 
Last edited by a moderator:
Basi nkafkir Katavi ndio kahamishwa kituo cha kazi sijawahi jua kama katavi ni jina la mahali

ijue nchi yako na fulsa zilizopo kuijua Dar pekee sasa hivi sio isue tena, magorofa almost yote yanayo jengwa hapa bongo ni ya watu walio mikoani, walio ijua nchi yao na kutumia fulsa zake wanapiga hela mikoani wanajenga bongo ww unaishia kupanga tu, anza sasa haujachelewa
 
Ndugu zangu ..naombeni ushauri wenu! mdogo wangu amepangiwa katavi kama kituo chake cha kazi- ni pale pale makao makuu ya mkoa...je ni fursa gani zilizopo pale? vipi kuhusu huduma za msingi kama nyumba ya kupanga maji na umeme! gharama za maisha kwa ujumla sababu mshahara wake ni mdogo TGS D...naombeni sana wanajamvi mliopo katavi au mliowahi kuishi katavi mtushauri ukizingatia huu ni mkoa mpya

mkuu hio fulsa ya maana hata wakimwambia hawata mlipa mshahara watamlipia nauli tu mwambie aende kule kuko poa sana fulsa ni nyingi sana especial kwa mtu aliesoma atapiga hela hata taka kurudi dar tena kupo poa sana
 
Back
Top Bottom