KATAVI- Kituo kipya cha kazi! naombeni ushauri

KATAVI- Kituo kipya cha kazi! naombeni ushauri

Kuna fursa nyingi sana huko na watu ni washamba so ukiwatumia hela unapata,,,,,,,,
 
na je ukitaka kuomba kubadilishiwa kituo cha kazi ni utaratibu gani unaufanya?

Kwanini abadilili kituo? Kama hamtaki afanye kazi sehemu aliyopangiwa bila sababu za msingi si mumuachishe kazi tu abaki nyumbani?

Mtu hajafika ata kuangalia mazingira ya kazi mnaanza kufikiria kumhamisha kituo. Nyie ndio mnaosababisha mianya ya rushwa.
Muachane afanye kazi acheni kuendekeza upuuzi wa kitanzania.
 
ahsanteni wadau...vipi nyumba za kupanga zipo? na gharama ikoje kwa nyumba ya vyumba 3
 
Ndugu zangu ..naombeni ushauri wenu! mdogo wangu amepangiwa katavi kama kituo chake cha kazi- ni pale pale makao makuu ya mkoa...je ni fursa gani zilizopo pale? vipi kuhusu huduma za msingi kama nyumba ya kupanga maji na umeme! gharama za maisha kwa ujumla sababu mshahara wake ni mdogo TGS D...naombeni sana wanajamvi mliopo katavi au mliowahi kuishi katavi mtushauri ukizingatia huu ni mkoa mpya

fursa zilizopo ofisi ya mkuu wa mkoa au unamaanisha nini? Hata hivyo si wewe unayekwenda kwa nini uulize kuhusu fursa kama ni za kibiashara, huyo mdogo wako na business minded? kwa nini asiulize yeye mwenyewe?
 
Unapotea!!! Katavi ni bush na kuko local sana ..hata mafuta ya kupaka hakuna..utapakaa mawese
 
sawa bwana...niliwah kuish huko back in 2010/2012 .maisha ya pale makao makuu ya katavi(mpanda) ni rahisi pia magumu kutegemea na unayalinganisha na ya wapi.mfano ukilinganisha na sumbawanga mjini, mpanda iko ghari sana kuliko swanga, mfano nafaka za sumbawanga zinapelekwa mpanda kuuzwa sababu kuna bei juu kuliko mpanda, pia wakazi wa mpanda ni wavivu hivyo hawalimi ukiachilia mbali wageni kama wasukuma.mwambie anaweza kufungua shamba kubwa la mpunga akatoka, biashara ni nzuri, madini yanachimbwa pale jiran na mji, anawezanunua vifaa vya uchimbaji madin akakodisha, duka la vifaa vya magari linaweza kumtoa pia, ila nyumbainategemeana.... kawajense anaweza pata chumba kwa 10 15 20 kwa nyumba nzuri.majengo anaweza pata kwa bei hiyo pia.note mpanda ina madini....kwa baadhi ya bidhaaa usishangae ukauziwa bei kama mererani.
 
Kwanini abadilili kituo? Kama hamtaki afanye kazi sehemu aliyopangiwa bila sababu za msingi si mumuachishe kazi tu abaki nyumbani?

Mtu hajafika ata kuangalia mazingira ya kazi mnaanza kufikiria kumhamisha kituo. Nyie ndio mnaosababisha mianya ya rushwa.
Muachane afanye kazi acheni kuendekeza upuuzi wa kitanzania.

umeogea point nzuri mkuu japo umeongea kwa jazba, watu wanalilia kupata kaz alafu wakipata wanaanza madoido
 
Back
Top Bottom