Katambi: Leteni majina wanaoandika uchochezi

Ajue Samia soon anaodoka..Nchimbi akiwa Rais huyo Katambi asahau uwaziri.
Katambi ni Kibaraka wa Mchengerwa na Samia.
 
Mpumbavu mkubwa huyo, watu wanatekwa yeye anaongelea habari za AI!
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.

Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.

"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.

Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.

Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.

"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.

Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
Uyu nae amtisha nani , tumezliwa siku na tutakufa siku moja , shida ya watu wepesi kua nafasi nyeti
 
Fala mwingine huyu,aanze na Mimi,Niko Liwale ni mwalimu,afike kwa mkurugenzi aulize mwalimu James tweve anafundisha shule gani,atanipata.

Mavuzi yake huyu waziri
Ulicho fanya nikumsababishia mwenzio matatizo hilo sio jina lako huenda ni jina la mwalimu usiye mpenda au mliye gombana imeamua kumuundia msala ujasiri wako wa kujianika tungeuona kwenye ID yako hapo
 
Pumbavu huyo dogo. Awatume hao polisi waje, nakaa Magomeni Mapipa mtaa wa msichoke.
 
Ulicho fanya nikumsababishia mwenzio matatizo hilo sio jina lako huenda ni jina la mwalimu usiye mpenda au mliye gombana imeamua kumuundia msala ujasiri wako wa kujianika tungeuona kwenye ID yako hapo
Hata mie niliwaza hivyo, kuwa sio yeye ila kaamua kumuangushia zigo mwenzake.
 
Fala mwingine huyu,aanze na Mimi,Niko Liwale ni mwalimu,afike kwa mkurugenzi aulize mwalimu James tweve anafundisha shule gani,atanipata.

Mavuzi yake huyu waziri
James twelve
kakunyang'anya dem nini!?
 
Huyu dogo cdm walichelewa kumjua kama pandikizi
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.

Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.

"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.

Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.

Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.

"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.

Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
Muflis mwingine huyo. Hivi hii ndiyo priority ya Tanzania? Huwa na wasi wasi na hawa wasomi wa Dar Uni. Have no blooody clue! Nchi yenye majanga ya dhuluma na matatizo lukui, hadi rule of law iko ukingoni kuanguka......hii ndiyo priority yake!
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema serikali itaendelea kuwakamata na kuwachukulia hatua wote wanaotengeneza akaunti kwenye mitandao ya kijamii kisha kuzitumia kutukana na kudhalilisha watu na hasa viongozi.

Aidha, amesema kuna utumiaji wa Akili Unde kutengeneza video, sauti na picha zenye lengo la uchochezi na kwamba wananchi wanatakiwa kuwa makini wasisambaze, huku serikali ikiwasaka wanaoziunda kwa kuwa wana lengo la kuivuruga nchi.

"Nawataka wananchi tuandike taarifa za maoni na majina ya watu wanaoandika na kusambaza taarifa za uchochezi kwenye mitandao ya kijamii, ili tuchukue hatua kwa kuwa kuna watu wamezamia nchi nyingine wanafanyakazi ya uchochezi, "amesema Katambi ambaye pia ni Mbunge wa Shinyanga Mjini.

Aidha, amesema lazima Watanzania watambue kuwa kuna haki na wajibu, ila wengi wanazungunzia haki bila kuzungumzia wajibu wao kwenye nchi.

Aidha, aliwaomba wananchi kuwa wataulivu wakati serikali inachukua hatua dhidi ya watu wanaoleta uchochezi kwa lengo la kuchafua nchi, na kwamba nchi inaendeshwa kwa kuzingatia utawala wa sheria.

"Ushahid wa kwamba taifa liko salama ni miradi ya maendeleo inayotekelezwa, na tutahakikisha tunaendelea kuwa salama, "amesema.

Waziri Katambj ameyasema hayo leo Jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa Meli ya MV Mwanza, uliofanywa na Waziri Mkuu, Dk. Lameck Nchemba.
Sasa umesema tukutajie wachochezi utawachukulia hatua, mimi nakutajia mchochezi nambari one KIHONGESI mwenezi wenu!! Tuone kama utamchukulia hatua.
 
Waziri unapaswa kupiga kazi ili matokeo ya kazi yako yabadilishe mitazamo ya hao wakosoaji na wanaotusi...
 
Kuna kilaza mmoja alitokea shamba, ni kijana mdogo tu mshamba na mpenda bia tena nadhani hata jandoni hajakwenda.
Alivyoingia Dar na tongo tongo zake aliapa atakomesha umalaya na uchangudoa na ushoga.
Kwanza hakujiuliza wateja wa mashoga ni kina nani, alikurupuka tu.
Hakuuliza wenyeji wateja wa malaya ni kina nani.
Hakujua kwamba wateja wa mashoga ni matajiri na viongozi wa juu juu huko.
Aligonga mwamba sasa hivi anaweweseka tu.
Foleni ziko palepale, umalaya umeongezeka na matajiri na wakubwa wanaendelea kuwakojolea watoto wa kiume wasio rizki.
Hata mabasi ya mwendokasi ameacha kuyaduatilia.
Mikono yake inanuka damu ya 29 make 3.
Na mkeka ukisukwa atausoma ila hatashiriki.
Sasa huyu Kitambi au sijui kitambo aliyekalia wizara ya Bashite kwa muda anategemea nini?
 
Back
Top Bottom