kataaaaaaa kata....

Umetaja wanawake tu wakate. Nyie pia mnatakiwa kukata.
Kataaa Asprin kata, mpaka cacico adate.

kataaa@kaizer kata mpaka gfsonwin azime.
Kataaa Judgement kataa hadi beibe nasty adate.
Kataaa Vin Diesel, hadi sweetlady apagawe.
Kataaa wanaume wooote.
Erickb52 we najua unakata sana tena daily. Lol
kha Catherine mdogo wangu upo?? mi mithd u bana! nimekataje sasa? naupenda huo wimbo balaa, unanikumbusha rungwe disco wakati nakua, i used kwenda na dad na mom, na motel agip chuni ya manager mzee abisai, baba alikuwa na pijot gari 504 khaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Haya harakisha....

In the meantime, una watoto wangapi wewe? Mmoja au wawili? Au mmoja na mwingine ndo yuko njiani? Umeolewa?

Erickb52 atakujibu hili swali maana ye ndio ameanzisha habari za vijacho. Eric ufike hapa.
 
Last edited by a moderator:
kha Catherine mdogo wangu upo?? mi mithd u bana! nimekataje sasa? naupenda huo wimbo balaa, unanikumbusha rungwe disco wakati nakua, i used kwenda na dad na mom, na motel agip chuni ya manager mzee abisai, baba alikuwa na pijot gari 504 khaaaaaaaaaa!

hahahaha! Nipo da cacico. Ni zamu za wanaume kukata sasa kabla hatujawakimbia. Ulifaidi sana utotoni, wengine mambo ya disco tumeyakuta ukubwani ati.
Mpe hi Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Wala sio hivyo hata kidogo. Ni ufatashi wangu tu wa kutaka kujua zaidi kuhusu huyu mwanachama mupya.
Hahahaaa huyu mwanachama mpya ila nashangaa siku ya kwanza na comment yake ya kwanza jukwaa la utambulisho aliweza ku-mention Lol
Mi nikamwogopa sana Catherine
 
Last edited by a moderator:
Msegeju ana ng'ombe
Nami nna ng'ombe zangu
Namwambia tuchanganye hataki
Kwa heri nenda zangu
Kataaa kata
Kata Kaunga kata
Kiuno chako mwenyewe
Kata Erotica kata
Kata Zinduna kata
Kata Amyner kata
Mpaka erick azibuke
Kataaaa kata.......
Kongosho kaa pembeni kurrreeee haya huyawezi labda ingekuwa chagulaga.

Kwisha habari yako! Manamake ya pwani yashakumaliza kiuno meng'emeng'e!
Mpaka nyimbo zao umezikariri si haba!
Ungeambiwa imba akanana nyimbo ingeishia njiani !
Uhurumiwe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom