Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Pia yuko salama salmini kabisa na namshukuru Muumba!huyu yupo salama chini ya uangalizi wa mwenye enzi MUNGU na huyo mwingine
Pia yuko salama salmini kabisa na namshukuru Muumba!huyu yupo salama chini ya uangalizi wa mwenye enzi MUNGU na huyo mwingine
Mwache akatike aiseeMtani sasa unaelekea siko, "mpaka kibao kata?"
Umeona eeeeh lolkama windvane
stress free
Niko kwenye kibao kata kinondoni,karibu.
Hahaaaaa wanapendaje haya makitu yangu yanazunguka utadhani kata Upepo la kujaza maji hahahaaaaa
Hahahaaa sawa mama Kijachodogo inatosha kujipepea. Lol!
Tena za Banana kama biashara yakeLeo umezigida nyingi sana nini? Yaani unanivunja mbavu.
Najua kukata maun
Muulize The secretary ananijua kwa undani
Umetaja wanawake tu wakate. Nyie pia mnatakiwa kukata.
Kataaa Asprin kata, mpaka cacico adate.
kataaa@kaizer kata mpaka gfsonwin azime.
Kataaa Judgement kataa hadi beibe nasty adate.
Kataaa Vin Diesel, hadi sweetlady apagawe.
Kataaa wanaume wooote.
Erickb52 we najua unakata sana tena daily. Lol
Na badoMmmmhhhh????
Mmmmhhhh????