Ulewe halafu ukate? Si utakatika senta bolt?
Nyani Ngabu hujammiss mwajuma?
Hahahaaa sawa mama Kijacho
Mwajuma ana tabia mbaya
Anamsema Hamisi, eti kwamba ana chawa
Licha ya hivyo, nampenda Mwajuma
Namtaka Mwajuma
Tatizo pesa sina
Unabisha?
waniombea kijacho eeh? Ujiandae kuleta pempas.
Huwezi kuninyang'anya tonge wewe. Huna ubavu huo.
Unachoweza wewe ni kula mzoga na makombo nnayoyaacha.
Unabisha?
Kwa lipi la ziada alilonalo?
Hehehehe atoe wapi hela ya pampas?.......unamjua Nyani Ngabu wewe?
Bado naendelea kukuitroduce kwa jf memba sawa eeh!
hahahahaha! Halafu wewe. Naomba introduction ifungwe. Huyo ni mtu anajiita nyani au ni nyani kweli? Lol
Habari yako mgeni-mwenyeji? Hongera kwa kijacho.....
nzuri, shkamoo!
Heheheee ntakuletea aisee na ninavyoenda watoto ntakuomba unipe au nije tukae wote huko lolwaniombea kijacho eeh? Ujiandae kuleta pempas.
Marhabaa, mashallaah al farash tat'hir biy'a jin hitaiyah...
subiri kidogo niombe tafsiri kwa shehe.