Kataa Ugali, Ugali ni Mateso

Kataa Ugali, Ugali ni Mateso

Ni mbaya ila ugali hauna hata ladha
Ladha ya Ugali ni mboga ...tumia akili sasa kama unakula ugali na maharage hayo ni mazoezi ya kuishi jela ...ugali una mboga zake na mapishi yake ya mboga asilimia 90 wa wanawake awajui kupika hata dagaa....hata samaki wa mitaa wa kukaanga awapo sawa wanakaangwa hovyo ...mfano kupika dagaa kuna hatua hizi za kuwaandaa ambazo wengi amfuati
1)nunua dagaa
2)wachambue kuondoa dagaa wagogo sana na kuondoa vichwa
3)waoshe kwenye maji ya uvuguvugu x3
4)weka sufuria ya maji jikoni ya chemke tia kijiko kimoja cha chumvi na kamulia ndimu au limao
5)tia dagaa kwenye hiyo surufia funika wachemke hadi watoe povu ...ilo povu ni uchafu na shombo .
6)wakisha chemka mwaga hayo maji yenye povu na kuwaosha hao dagaa tena na maji ya uvuguvugu .
7)chukua kikaango na mafuta ya kula wakaange hao dagaa ulio wachemsha hadi wanukie sana
8)wakisha kunukia waepue hapo dagaa wako wapo tayari kwa kuanza mapishi ya aina yoyote ..hizo hatua zote ni hatua za kuwaandaa tu dagaa kabla ya kuwapika mapishi utakayo .HAPO UNAKUWA UMEFANYA KITU KINAITWA ZERO SHOMBO
 
nyie wapuuzi na hizi mada zenu...mkumbuke mlikotoka kamwe msikitusi chakula kilichowalea.. tangu mababu na mabibi zako hadi wazazi wako na wewe leo hii miaka yote hiyo mlikula ugali na mlifurahia shibe yake..na wengine hadi mmekuwa watu wazima mlipata bahati kuwaona au kuishi na bibi na babu zenu na pengine wako hai mpaka sasa..hayo madhara mnayodai yapo kwenye ugali ni yapi ambayo hayakuwadhuru wao tangu utoto wao hadi leo wamezeeka na bado wapo imara.! Leo nyinyi mumepata Pesa nyingi za kuweza kula mnachokitamani au kwenye mahoteli ya maana basi ndio mnajiona meyapatia maisha ndio mnadharau hadi walichokula wazazi wenu..mmepata maisha mengine nje ya ugali basi mshukuruni mungu kwa neema hiyo aliyowapa na sio kufanya hizo kufuru zenu humu kwani kuna maisha baada ya leo pia pesa zinazowapa hizi dharau zitaisha maana hakuna ajuaye ya kesho yake..kwa dharau mnazoonyesha humu mungu anaweza kukupa pigo au dhiki kuu usipate chakula au ukalazimika kula hicho unachokitukana leo unachokiona hakina maana na kikakuokoa wakati wa njaa na uhitaji..tujichunge sana kuleta madharau kwa mambo yanayohusu Riziki..kibaya kwako basi ujue wengine kinawasitiri tuchunge mdomo kwenye riziki ya mola ipo siku utakuja kukihitaji unachokitukana leo na usikipate..ww kama umepata pesa nyingi unakula unachokitamani basi shukuru..na hizi kufuru zenu na kutaka sifa humu wacheni huwezi kuidhihaki riziki ukabaki salama ni suala la mda tu hizo dharau zitakuja kuwatokea puani kama sio masikioni tuwe na adabu.!
 
Mdada akatae ugali na mwanaume ukatae ugali utapata wapi nguvu ya kuipiga hadi ichanganyikiwe. Hii ni agenda ya wala chips yai.

Anyway kila mtu ale ambacho kinakubalika kinywani na tumboni mwake. Kuna watu wanapenda nyash na wengine vimbaumbau kila mtu na test yake.
 
Hata mboga mboga kuchukuchu hazina ladha, kama ni swala la ladha, that is another issue, katika muktadha wa afya, ugali na wali upo kundi Moja!

Vijana mkishazoea chips za Dar es salaam ndo mnakuwa hivi!
Hawa bado ni vijana wanakaa kwa wazazi, hawajayajua maisha, wanaleta stor za vijiweni waonekane maisha wameyapatia.
 
Hata mboga mboga kuchukuchu hazina ladha, kama ni swala la ladha, that is another issue, katika muktadha wa afya, ugali na wali upo kundi Moja!

Vijana mkishazoea chips za Dar es salaam ndo mnakuwa hivi!
Chips Zina shida gannmkuu ? Mimi mwanaume wa dar nikishatinga pensi langu lililobana mapaja na earphone zangu na simu yang ya iphone macho matatu nasikiliza ngoma za zuchu , nalambalamba lips , naenda chimbo la chips YAI ya kushiba na mishkaki fresh tu si inakua unyama sana
 
Ugali tembele au ugali dagaa hua unashuka 😋😋😋😋
Ila ugali sio kipaumbele cha msosi kwangu.
 
nyie wapuuzi na hizi mada zenu...mkumbuke mlikotoka kamwe msikitusi chakula kilichowalea.. tangu mababu na mabibi zako hadi wazazi wako na wewe leo hii miaka yote hiyo mlikula ugali na mlifurahia shibe yake..na wengine hadi mmekuwa watu wazima mlipata bahati kuwaona au kuishi na bibi na babu zenu na pengine wako hai mpaka sasa..hayo madhara mnayodai yapo kwenye ugali ni yapi ambayo hayakuwadhuru wao tangu utoto wao hadi leo wamezeeka na bado wapo imara.! Leo nyinyi mumepata Pesa nyingi za kuweza kula mnachokitamani au kwenye mahoteli ya maana basi ndio mnajiona meyapatia maisha ndio mnadharau hadi walichokula wazazi wenu..mmepata maisha mengine nje ya ugali basi mshukuruni mungu kwa neema hiyo aliyowapa na sio kufanya hizo kufuru zenu humu kwani kuna maisha baada ya leo pia pesa zinazowapa hizi dharau zitaisha maana hakuna ajuaye ya kesho yake..kwa dharau mnazoonyesha humu mungu anaweza kukupa pigo au dhiki kuu usipate chakula au ukalazimika kula hicho unachokitukana leo unachokiona hakina maana na kikakuokoa wakati wa njaa na uhitaji..tujichunge sana kuleta madharau kwa mambo yanayohusu Riziki..kibaya kwako basi ujue wengine kinawasitiri tuchunge mdomo kwenye riziki ya mola ipo siku utakuja kukihitaji unachokitukana leo na usikipate..ww kama umepata pesa nyingi unakula unachokitamani basi shukuru..na hizi kufuru zenu na kutaka sifa humu wacheni huwezi kuidhihaki riziki ukabaki salama ni suala la mda tu hizo dharau zitakuja kuwatokea puani kama sio masikioni tuwe na adabu.!
Shekhe TUSIDANGANYANE hapa huyu kupata sumni na kupata muda wa kufungua thread ni tumilioni tu mbili ama tatu ...hakuna tajiri una balance inasoma 100+ million halaf upate muda wa kuandika thread..
 
Kwa nini ule vyakula vya wanyama.

Kwa nini ule kitu ambacho kina nafasi kubww ya kukufanya uwe na mwili usio eleweka.

Kwa nini ule kitu kinachoweza kukuleta high blood pressure na cancer

Kwanini ule kitu kisochokuwa na vitamin and mineral deficiencies,

Kwanini ule MATOFALI

Another innocent neck , carrying a rotten pumpkin head
 
Chips Zina shida gannmkuu ? Mimi mwanaume wa dar nikishatinga pensi langu lililobana mapaja na earphone zangu na simu yang ya iphone macho matatu nasikiliza ngoma za zuchu , nalambalamba lips , naenda chimbo la chips YAI ya kushiba na mishkaki fresh tu si inakua unyama sana

Hakuna mahali nimesema chips Zina shida, tatizo ni kuutweza ugali na kufanya kama chakula cha maskini, Mimi nimeishina sana LA, California, na East coast, Ugali ulikuwa chakula maalum sana kwetu, na dagaa sometimes, weekend nyingi tukikutana na kuhakikisha tunaula, wajinga tu ndo wanautweza ugalai!
 
Je, hili ndio jibu kwa nini mikoa fulani kanda ya ziwa inaongoza kwa kansa nchini?
Utafiti zaidi ufanyike maana inakuja, inakataa, inakuja tena. Wala ndizi kanda ya ziwa wana kesi chache ikilinganishwa na wala dona.
 
nyie wapuuzi na hizi mada zenu...mkumbuke mlikotoka kamwe msikitusi chakula kilichowalea.. tangu mababu na mabibi zako hadi wazazi wako na wewe leo hii miaka yote hiyo mlikula ugali na mlifurahia shibe yake..na wengine hadi mmekuwa watu wazima mlipata bahati kuwaona au kuishi na bibi na babu zenu na pengine wako hai mpaka sasa..hayo madhara mnayodai yapo kwenye ugali ni yapi ambayo hayakuwadhuru wao tangu utoto wao hadi leo wamezeeka na bado wapo imara.! Leo nyinyi mumepata Pesa nyingi za kuweza kula mnachokitamani au kwenye mahoteli ya maana basi ndio mnajiona meyapatia maisha ndio mnadharau hadi walichokula wazazi wenu..mmepata maisha mengine nje ya ugali basi mshukuruni mungu kwa neema hiyo aliyowapa na sio kufanya hizo kufuru zenu humu kwani kuna maisha baada ya leo pia pesa zinazowapa hizi dharau zitaisha maana hakuna ajuaye ya kesho yake..kwa dharau mnazoonyesha humu mungu anaweza kukupa pigo au dhiki kuu usipate chakula au ukalazimika kula hicho unachokitukana leo unachokiona hakina maana na kikakuokoa wakati wa njaa na uhitaji..tujichunge sana kuleta madharau kwa mambo yanayohusu Riziki..kibaya kwako basi ujue wengine kinawasitiri tuchunge mdomo kwenye riziki ya mola ipo siku utakuja kukihitaji unachokitukana leo na usikipate..ww kama umepata pesa nyingi unakula unachokitamani basi shukuru..na hizi kufuru zenu na kutaka sifa humu wacheni huwezi kuidhihaki riziki ukabaki salama ni suala la mda tu hizo dharau zitakuja kuwatokea puani kama sio masikioni tuwe na adabu.!
Inasikitisha Sana mkuu.
Hawajui kuna watu hushinda na kulala njaa.
Grieving.
 
Shekhe TUSIDANGANYANE hapa huyu kupata sumni na kupata muda wa kufungua thread ni tumilioni tu mbili ama tatu ...hakuna tajiri una balance inasoma 100+ million halaf upate muda wa kuandika thread..
wanafanya kitu kibaya sana hata kama wanafurahisha genge humu lakini wajue wanajichumia laana ya nafsi zao kwani dhihaka kwenye riziki ya mungu sio vema..wao kama wamebarikiwa fungu zuri washukuru lakini wasitoe kasoro riziki za wengine..
 
Back
Top Bottom