Huwezi kusema ugali ni chakula cha asili wakati mahindi yaliingia Afrika kama chakula cha kigeni karne ya 15.Hata Wali, viazi, ngano, zote ni mbaya, similar to ugali; ugali ni Chakula kinachotambulisha u Tanzania wetu, sasa mshaanza kujiona ni Bora kuliko asili, rubbish
ugali ndio chakula kikuu cha kushibisha. Hizo chipsi, wali, makande, ndizi, mihogo, viazi, mikate si vyakula vya kushibisha kisawasawaUgali ndio chakula cha taifa, ilitakiwa iwe kwenye katiba
View attachment 3388989
ugali ndio hushibisha vema kuliko mapochopocho mengineShida sio ugali, shida ugali unakula na nini..
Kweli ugali unakosa madini mengi tu.
Lakini ugali hauliwi pekee yake, ugali unaenda na mboga gani!!
Juzi kati nimeenda kwa mama ntilie ugali ule ni mtamu, mboga standard mpaka nikamuuliza kwa buku jero hupati hasara kweli!?
Ugali laini,
Dagaa wametiwa nazi
Maharage nazi
Mboga za majani
Na nyama
Mboga zoote quality, si mpenzi saana wa ugali, ila ile nilikula ugali mchana kwa siku 5 mfululizo