Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Matatizo yako yanaanzia akili mwako unakochagu mtu wako wa kuingia nae ndoani.
Ndo sio sababu ya umaskini, oeni muondoe upwiru na upweke.
We mwenyewe SI katibu wa chama hiki🤓🤣🤣
th.jpeg
 
Issue si umasikini.
Utulivu wa akili na nafsi ni afya pia, masuala ya kufumania texts za ajabu na mambo ya ajabu ni kupeana stress tu.
Kwani usipokua kwenye ndoa ndo utakua umekwepa stress??
Ndo maana nkakwambia ni akili yako tu mkuu.

Kama ni hivyo mnavyowaza basi wazee wetu wasingezeeka pamoja.
Unaoa ukitegea mtaishi kwa raha maisha yenu yote, matatizo yapo tu hata ukiwa single.
 
Back
Top Bottom