Mr. JF
Member
- Dec 14, 2015
- 79
- 107
Kata Simu, Kata Simu, Tupo Site, I don't like disturbance of the head, do you understand?
Huu msemo origin yake ni nini na wapi? Nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na una sound funny, nimetamani kujua ni sauti ya nani na umeanzia wapi!
Wakatabahu!