Kasuku noma

Kasuku noma

amiride

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
200
Reaction score
37
Mzee mmoja alikuwa anafuga kasuku dume, yule kasuku akawa na mchezo wa kuingia banda la kuku na kuwapiga miti(kuwa sex).
Mzee alivyomstukia akawa anampa kila aina ya adhabu kasuku haachi.akaamua kumtoa magoya ya kichwani mpaka kasuku akawa na kipara lakini wapi haachi.Siku mmoja kulikuwa na sherehe kwa mzee kasuku akawekwa mlangoni kukaribisha wageni, wakaja wazee 3 wote wana vipara kasuku ile kuwaona wacha awachangamkie na kuwaambia KARIBUNI WAFIRAA KUKUU WENZANGU
 
Hii thread haitapata wachangiaji hata kidogo wewe subilia uone!
 
Mzee mmoja alikuwa anafuga kasuku dume, yule kasuku akawa na mchezo wa kuingia banda la kuku na kuwapiga miti(kuwa sex).
Mzee alivyomstukia akawa anampa kila aina ya adhabu kasuku haachi.akaamua kumtoa magoya ya kichwani mpaka kasuku akawa na kipara lakini wapi haachi.Siku mmoja kulikuwa na sherehe kwa mzee kasuku akawekwa mlangoni kukaribisha wageni, wakaja wazee 3 wote wana vipara kasuku ile kuwaona wacha awachangamkie na kuwaambia KARIBUNI WAFIRAA KUKUU WENZANGU

Thread za kikamerunikameruni mbona zinaongezeka sana humu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom