Kassim Majaliwa: Zanzibar kuonyesha Bunge lao kama kawaida

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,102
114,701
Waziri Mkuu Mwema Kasim Majaliwa alihoji mbele ya Diaspora kwamba atajiwe nchi inayoonyesha bunge live masaa 8,leo namletea Zanzibar!!!
Jana Zanzibar imesema wao wataonyesha bunge lao live na wataendelea kama ilivyozoeleka huko nyuma.
Kwa mantiki hiyo ni wazi kwamba Mh.Kassim Majaliwa na Nape kuhoji nchi gani inaonyesha bunge live masaa 8 ni Zanzibar ambayo ni inaongozwa na Rais Mwema Magufuli na huku JK akiwa mwenyekiti wa ccm.
 
Bunge la ZANZIBAR la chama KIMOJA, hata wakionyesha halina maana.

Tunataka la TANGANYIKA bhana.
 
Huyu Majaliwa si alikuwa anataka apewe mfano wa nchi inayoonyesha bunge live.

Nchi ya Zanzibar ndio mfano, aseme lingine sasa.
 
Waziri Mkuu Mwema Kasim Majaliwa alihoji mbele ya Diaspora kwamba atajiwe nchi inayoonyesha bunge live masaa 8,leo namletea Zanzibar!!!
Jana Zanzibar imesema wao wataonyesha bunge lao live na wataendelea kama ilivyozoeleka huko nyuma.
Kwa mantiki hiyo ni wazi kwamba Mh.Kassim Majaliwa na Nape kuhoji nchi gani inaonyesha bunge live masaa 8 ni Zanzibar ambayo ni inaongozwa na Rais Mwema Magufuli na huku JK akiwa mwenyekiti wa ccm.
Mkuu rais mwema Magufuli anaongoza Z
 
Bunge la ZANZIBAR la chama KIMOJA, hata wakionyesha halina maana.

Tunataka la TANGANYIKA bhana.
PM kauliza nchi gani, wewe unasema zanzibar. Kwani zanzibar ni nchi? Halafu zanzibar hakuna bunge kuna baraza la wawakili. Bunge na wabunge toka zanzibar wako mjengoni Dodoma.
 
Ha ha ha! Nchi yenyewe inayoonesha live masaa 8 kumbe imo humo humo ndani ya nchi anayoongoza PM lakini PM hana taarifa! Hii kali.
 
Waziri Mkuu Mwema Kasim Majaliwa alihoji mbele ya Diaspora kwamba atajiwe nchi inayoonyesha bunge live masaa 8,leo namletea Zanzibar!!!
Jana Zanzibar imesema wao wataonyesha bunge lao live na wataendelea kama ilivyozoeleka huko nyuma.
Kwa mantiki hiyo ni wazi kwamba Mh.Kassim Majaliwa na Nape kuhoji nchi gani inaonyesha bunge live masaa 8 ni Zanzibar ambayo ni inaongozwa na Rais Mwema Magufuli na huku JK akiwa mwenyekiti wa ccm.
Zanzibar siyo nchi, ni mkoa wa tanzania wenye governor aliyepewa hadhi ya rais wa mkoa huo.
 
Waziri Mkuu Mwema Kasim Majaliwa alihoji mbele ya Diaspora kwamba atajiwe nchi inayoonyesha bunge live masaa 8,leo namletea Zanzibar!!!
Jana Zanzibar imesema wao wataonyesha bunge lao live na wataendelea kama ilivyozoeleka huko nyuma.
Kwa mantiki hiyo ni wazi kwamba Mh.Kassim Majaliwa na Nape kuhoji nchi gani inaonyesha bunge live masaa 8 ni Zanzibar ambayo ni inaongozwa na Rais Mwema Magufuli na huku JK akiwa mwenyekiti wa ccm.
Ala! kwani wale hawana kazi za kufanya?
 
Back
Top Bottom