Kassim Majaliwa: Atamaliza, tutamuongezea miaka mitano mingine kwa utamaduni wa chama cha Mapinduzi

Wacha mama aendelee kutawala,maana ndugu zangu wa Kanda ya ziwa walizidi mashauzi,
Hii nchi Bora Raisi atoke jamii nyingine asiwe msukuma,mhaya,mnyakyusa,mchaga,Mhita,mkulya,
Maana haya makabila yameenea kila sekta,
Kwani akitoka kwenye makabila hayo kuna shida gani kama ni mtu sahihi?
 
Majaliwa anataka Kutuambia Iwe isiwe lazima Samia awe Rais Wa Nchi Kwa Miaka 10 ijayo?

===========

Kassim Majaliwa: Nataka kuwahakikishia tena, Serikali yenu iko makini na maam yetu kwenye eneo hili anaendelea kutenda haki. Leo miezi sita tu, ana miaka mitano tutamjumlishia miaka mitano mingine, bado ana nafasi ya kufanya sana. Hii miaka mitano anayokwanda nayo, sasa hivi bado tunafahamishana fahamishana tu lazima kila mtu ajue filosofi ya mama ni nini!

Atamaliza, tutamuongezea miaka mitano mingine kwa utamaduni wa chama cha Mapinduzi, Mama Samia lazima apate kipindi chake kama marais waliotangulia.

View attachment 1954361
Mzee mbona Ana HARAKA ? KWANINI TUSISUBIRI AMALIZE na Pia Tusubiri UTARATIBU wa VIKAO vya CHAMA?
 
Approximately to 10 mkuu hahaha, hamna wa kushindana na mwenyekiti wa CCM, hilo sahau!! Tumaini pekee kama tungekuwa na upinzani imara, siyo huu upinzani tulionao sasa!! Hao wazalendo uchwara wakitupiwa tumifupa kidogo tu utashangaa kama ni wao, wataturn 180 degrees
Dirisha la kinyan'ganyiro cha urais kupitia CCM limefungwa. Waliokuwa wapejipanga 2025 wavute subira hadi 2030. Baadhi yao watakuwa wamevuka ile kitu inaitwa"sell by ......." Yaaniwatakuwa wamesha-expire.
 
Majaliwa anataka Kutuambia Iwe isiwe lazima Samia awe Rais Wa Nchi Kwa Miaka 10 ijayo?

===========

Kassim Majaliwa: Nataka kuwahakikishia tena, Serikali yenu iko makini na maam yetu kwenye eneo hili anaendelea kutenda haki. Leo miezi sita tu, ana miaka mitano tutamjumlishia miaka mitano mingine, bado ana nafasi ya kufanya sana. Hii miaka mitano anayokwanda nayo, sasa hivi bado tunafahamishana fahamishana tu lazima kila mtu ajue filosofi ya mama ni nini!

Atamaliza, tutamuongezea miaka mitano mingine kwa utamaduni wa chama cha Mapinduzi, Mama Samia lazima apate kipindi chake kama marais waliotangulia.

View attachment 1954361
Kula na kipofu usimpapase mkono.
Halafu JPM walikuaga wanakwambia hivi hivi, haya mambo sikuwahi kuyasikia kwa Mkapa,JK na Mwinyi kwa maana utaratibu ulijulikana na ya Mungu mengi. Mimi naona ni kama jinamizi la ushetani jipya la watoa roho. Nyie viongozi na washika dau kama mnaujua utaratibu wa miongozo ya chama na serikali mbona mnatumia nguvu ya ziada kushawishi ukweli au utaratibu?

Chunga sana Rais, sio kila anaekusifia sifia na mitano tena mara kumi mara blah blah ana nia njema, wengine wanakutangulizia pasi ubutue au ubutuliwe.

Wanasiasa wengi wanaowazunguka wakubwa wao ni wanafiki, wachumia tumbo na wanufaika mfumo.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Majaliwa anataka Kutuambia Iwe isiwe lazima Samia awe Rais Wa Nchi Kwa Miaka 10 ijayo?

===========

Kassim Majaliwa: Nataka kuwahakikishia tena, Serikali yenu iko makini na maam yetu kwenye eneo hili anaendelea kutenda haki. Leo miezi sita tu, ana miaka mitano tutamjumlishia miaka mitano mingine, bado ana nafasi ya kufanya sana. Hii miaka mitano anayokwanda nayo, sasa hivi bado tunafahamishana fahamishana tu lazima kila mtu ajue filosofi ya mama ni nini!

Atamaliza, tutamuongezea miaka mitano mingine kwa utamaduni wa chama cha Mapinduzi, Mama Samia lazima apate kipindi chake kama marais waliotangulia.

View attachment 1954361

Ndio maana yake...lakini
 
Dirisha la kinyan'ganyiro cha urais kupitia CCM limefungwa. Waliokuwa wapejipanga 2025 wavute subira hadi 2030. Baadhi yao watakuwa wamevuka ile kitu inaitwa"sell by ......." Yaaniwatakuwa wamesha-expire.
Hahaha, ni kweli!! Hata wanaotarajiwa sana wanaweza wakavurunda hapa kati na wasisafishike kabisa come 2030
 
Mwl. Bashiru Hana Time na Mtu
Wakati mtu kanyongea kabisa halafu unasema hana time! Nina uhakika anatamani kile kipande cha kuanzia alipoteuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM hadi CS kifutike kimiujiza kwenye historia ya maisha yake maana kinamtia simanzi kwa kuchafua taswira yake aliyoijenga kwa miaka mingi.
 
Namjua Maana Nimefanya nae Kazi Mzumbe, Anaishi Maisha yake, Jamaa Ni Mjamaa Aswaa
 
Back
Top Bottom