Tanzania naona inahitaji mfumo mzuri.Tumpe mwinyi
Majaliwa kasimama msikitini, akadanganya watu rais mzima anachapa kazi.Tungekuwa na mfumo mzuri tungefika mbali.
Sasahivi ni watu wabovu ndani ya mfumo mbovu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂Majaliwa kasimama msikitini, akadanganya watu rais mzima anachapa kazi.
Kumbe rais anajifia zake huko.
Huyu naye wanamsema anafaa kuwa rais?
Mkuu mwongo ni mwongo tu,haijalishi alisimama wapi...Majaliwa kasimama msikitini, akadanganya watu rais mzima anachapa kazi.
Kumbe rais anajifia zake huko.
Huyu naye wanamsema anafaa kuwa rais?
Kuna kuongopa katika comedy show unaweza kusema una muktadha wa kuchekesha watu na artistic license na upande mwingine kuna kudanganya kama kiongozi wa nchi msikitini.Mkuu mwongo ni mwongo tu,haijalishi alisimama wapi...
Big no!!! kuna uongo Mtakatifu unao fanana na ukweli!! huo hata Mungu anautambua vizuri tu!! na Mungu si muongo!!!.....kwa mfano Mwizi anatafutwa kuuawa....na watu wenye hasira....bahati nzuri kapita nyumbani kwako Paap!! kajificha humo kimyaaa!!!Mkuu mwongo ni mwongo tu,haijalishi alisimama wapi...
Majaliwa ajaanza leo kutuongopea,Kuna kuongopa katika comedy show unaweza kusema una muktadha wa kuchekesha watu na artistic license na upande mwingine kuna kudanganya kama kiongozi wa nchi msikitini.
Umeandika nini hiki?Big no!!! kuna uongo Mtakatifu unao fanana na ukweli!! huo hata Mungu anautambua vizuri tu!! na Mungu si muongo!!!.....kwa mfano Mwizi anatafutwa kuuawa....na watu wenye hasira....bahati nzuri kapita nyumbani kwako Paap!! kajificha humo kimyaaa!!!
Hamadi watu wenye hasira na Mapanga, Marungu, wakapitia hapo kwako fyuuuum!! wakimsaka mwizi wao kumdhuru!! ...wakakuuuliza Utuonavyo tunamsaka mwizi wetu!! je umemuona kapitia hapa Bwana??....utajibu nini km weye............
Basi ndo ivo na kwa Majaliwa pia hakutaka wabongo mpate taabu ya kuzimia hovyo!! sasa nyie mtu ana wasaidia msife mnamwita muongo..... hata km weye humpendi kuna wengine wanampenda sana!
Huyo ni moja ya jangili wa Sukuma gang au sukuma week hafaiMedard kalemani anafaa sana kuwa rais 2025
Kwanza Majaliwa si mbunge halali. Hajashinda ubunge, amepita bila kupingwa.Majaliwa ajaanza leo kutuongopea,
Hakika hatujasahau,hayo ni machache tunayoyajua,je ni mangapi hatuyajui na amekua akituongopea?
Hakika simwamini hasilani,
Kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano.
Just like so many PM's walitamani sana alianza malechela , Msuya, Sumaye, Pinda , Lowassa Ila hawajawahi kupanda zaidi ya hapo.Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka.
Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni.
Hakuna nabii anaekubalika kwao.
Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu.
Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania waliokuwa wamechoka na utawala wa Magufuli. Wengi tulijihisi hatuna uhuru wa kuongea na wa kisiasa. Tuliamini zaidi watu wa kwenye mtandao ambao wamegeuka na kuwa wanafiki.
Katika fuatilia yangu nimegundua Majaliwa ana uthubutu sana kuliko hata mama mwenyewe. Huyu mzee anajaribu kufuata kwa karibu nyayo za JPM lakini kwa sababu yeye siyo rais.
Tukiwa watz kwanini 2025 tusimpendekeze ili CCM impe kijiti?
Labda Rais wa Namungo FcUmuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka.
Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni.
Hakuna nabii anaekubalika kwao.
Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu.
Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania waliokuwa wamechoka na utawala wa Magufuli. Wengi tulijihisi hatuna uhuru wa kuongea na wa kisiasa. Tuliamini zaidi watu wa kwenye mtandao ambao wamegeuka na kuwa wanafiki.
Katika fuatilia yangu nimegundua Majaliwa ana uthubutu sana kuliko hata mama mwenyewe. Huyu mzee anajaribu kufuata kwa karibu nyayo za JPM lakini kwa sababu yeye siyo rais.
Tukiwa watz kwanini 2025 tusimpendekeze ili CCM impe kijiti?
Kayafa & coUmuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka.