TFF wakiwavumilia kwenye hili, tawashusha vyeo.
Kanuni ifuatwe sisi gemu tumecheza tarh 8 saa 11 jion nahuyu kaimu katibu mkuu wa yanga akae ofisin hatutak shobo atulize Mdomo wake
Tutolewe na Biashara hahahsNgoja Azam akae nafasi ya 2.
Ndo mje mseme mechi na Simba hamchezi
Alafu Kule AZAM FA MTOLEWE.View attachment 1806910
Tutolewe na Biashara hahahs
na sheria ikifuatwa wanashushwa madaraja mawiliYanga nawaaminia kwa kufuata sheria.
Haiwezi tokea, mechi ilichezwa trh 8.na sheria ikifuatwa wanashushwa madaraja mawili