Kasongo acha vitisho, Yanga hatujui kudanganya msimamo hatuchezi na Simba

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,002
Nianze kwa kumpongeza Kaka Bumbuli.

Nimeona sehemu Mwenyekiti wa Bodi anatishia viongozi wafuate kanuni.

Haramu huliwa na haramu

Mmeacha kufuata kanuni kama BODI nani mtamwongoza acheni VITISHO nawambia wana Yanga msinunue tiketi za Mechi Yanga walishamalizana na Simba mkinunua yanawatokea yaliyotokea huku jamaa wakijinufaisha na tiketi ZENU.

Naheshimu msimamo wa Yanga, nyuma Mwiko mbele daima.

Kama yanga WALIOONDOKA kikaoni na MSIMAMO huo ulitaka wawadanganye wananchi mle pesa zetu tena.

Msahau
 
𝙺𝚠𝚊𝚗𝚒 𝚔𝚞𝚗𝚊𝚗𝚒𝚗𝚒 𝚗𝚢𝚞𝚖𝚊 𝚢𝚊 𝚙𝚊𝚣𝚒𝚊?
 
Ngoja Azam akae nafasi ya 2.
Ndo mje mseme mechi na Simba hamchezi
Alafu Kule AZAM FA MTOLEWE.
Kanuni ifuatwe sisi gemu tumecheza tarh 8 saa 11 jion nahuyu kaimu katibu mkuu wa yanga akae ofisin hatutak shobo atulize Mdomo wake
Screenshot_20210603-133420.jpg
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom