Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 13,677
- 25,899
Una uhakika hapo kwenye ushoga mkuu 🤔 ??Tafiti zinasema huko ndiko kwenye idadi kubwa ya vijana mashoga.
Tupunguzeni ukabila kwa mambo ya kipuuzi. Hakuna mkoa uliotoa upinzani mkali kama Dar/Mwanza/Mbeya kisha ndio wanafuata hao wengine.