Kasindee Kasindee Kasindee....hovyooooo!!!

Kasindee Kasindee Kasindee....hovyooooo!!!

LoL!!! Hahahahahah mie mambo hayo sinayo. Huyo CC wala usiwe na hofu ni utani tu Kasie. Salaam kwa msuli nitazifikisha.

BAK si hadithi ni real life happen to Kasie. Huyo cc Mkuu ni nani? Usintangaze, tafadhali...!![/B] salamu kwa msuli looh!
 
Kasinde nikidhani umeacha upopo...kumbe yule mkuu hakukushika ukashikamana!!!!
Anyway, hata mie napenda trips za hivo..we live once..!
 
Last edited by a moderator:
Mombo ya njia panda ya Lushoto na kuelekea Moshi na Arusha, niliposema nikakanyaga wese mdogo mdogo ulielewaje? Sikuwa high speed ndomaana saa 3 niko mombo na kutoboza chalinze from Ubungo njia bado ilikuwa na msongamano wa magari. Space niliipata from chalinze segera to mombo. Kuendesha pia ilikuwa sehemu ya enjoyment

mkuu mombo ipi uliyokua unasimulia?? na ulikua unatokea sumba wanga au mtwara?
 
Hahahahaaa jamani mangatara mbona Kasie mie nipo kawaida sana, basi tuu nainjoi kustarehe with ME, MYSELF & I. Usiote bana umesahau Kasie ni popo mla ujana??!

Kasinde;
Mbona mpaka naogopa kukaa menyewe nyumbaniiii?? Weye huogopi all that long jorney? Weye hatareee. Tena wa shoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom