Kasindee Kasindee Kasindee....hovyooooo!!!

Kasindee Kasindee Kasindee....hovyooooo!!!

Kasinde ni bishoo. Inaelekea wew ndo wa kwanza kumiliki gari ukoo mzima. Story zako huachi kuhadithia kibaby walker chako.
 
wkend lushoto.....ulienda mpaka kule juu kwenye hotel ya mkapa....?....dah nimeimiss lushoto....hakika nitarudi mana niliyafurahia mazingira....
Haswaaa nilipanda hadi kule nikapiga lunch, enjoy mwaya once u have time and u r healthier we live once oooh
 
Kama hajaja kukusumbua basi ujue kuna Kasinde mwingine

Sidhani kama kulikuwa na Kasinde mwingine maana watu niliokuwa nimekaa nao meza moja walikuwa watu flan hv kama unataka kuleta mtongozo lazima uogope, niliposikia akiita kwanguvu somehow was like anaangalia kwa kuibia niitikie, sasa kwenye kadamnasi ile nianze tuu kuitika. Huyo mtu aliyemtuma huyo babu aniite alinikwaza kwakweli japo sikujua ni nani na wala sikumfata kumdadisi yule baba. Nilipomaliza kula nikalipia kisha mootooo, mie kiustaarabu bora angemtuma babu anipe kinote auhata kuninong'oneza yule anakuita nami ningeitika ila aah aliniboa. Seams pia aliogopa nifata kunisumbua maana nilichuna na sikuona mtu mwingine kuitikia Kasinde looh
 
Kasinde na hadithi zake za kula ujana. Hongera zako baada ya Lushoto nadhani next trip itakuwa Las Vegas ukale bata za ujanani 🙂🙂

CC: Mkuu wangu........lol!!!!
 
Hahahahaaa jamani mangatara mbona Kasie mie nipo kawaida sana, basi tuu nainjoi kustarehe with ME, MYSELF & I. Usiote bana umesahau Kasie ni popo mla ujana??!

Kasindee;
Duh! Yu are expensive jamani, Dah! Week end Lushoto or was it Lusoto! So far from Dar? Weye ndo mwenyewe, tena mtoto upo peke yako kwenye ki box chako, na musiki muruwaaaa.
We, nyamaza usilete balaa hapa. Kumbe namuota Kasindee
 
Last edited by a moderator:
BAK si hadithi ni real life happen to Kasie. Huyo cc Mkuu ni nani? Usintangaze, tafadhali...!! salamu kwa msuli looh!
Kasinde na hadithi zake za kula ujana. Hongera zako baada ya Lushoto nadhani next trip itakuwa Las Vegas ulale bata za ujanani 🙂🙂

CC: Mkuu wangu........lol!!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
U'll get surprised my dear, Kasie is another champ mamaa ya crush. Anyways stay tuned tuombe uzima.
Yani kwa thread zako natamani kukuona.....lol.Hebu lets meet Rodrizio ili nikuone.
Cc. watu8
 
Last edited by a moderator:
Asante, ndugu yako ametoa baraka zote kwa mie kwenda Lushoto, ananifahamu mie sina shida ila maisha najua kuyala.
pole sana shemeji ulikumbuka kumuaga mumeo? Tized
 
Last edited by a moderator:
Ndo mie Kasie mwingine wa kuchonga, asante. Uko kwenye kisima cha mahabat...!!? Enjoy
du kweli wewe@kasinde, aya mama, hongera sana, wacha niendelee kusikiliza wimbo wa john legend all of me.
 
Avatar ina asilimia kubwa like real Kasie, kwa usiku ule huyo mtu ananijua nje ya JF haina tabu, shida ni kupayuka si anifate tuu nilipokaa

Alikujuaje kama wewe ndie kasinde?

Au huyo kwa avatar ndie kasinde mwenyewe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom