Kasinde na con mans

Kasinde na con mans

Hongera kwa kuacha michapuko......

Asantee nataka nijitahidi by the end of the year niwe walau na michepuko 2 tuu kama si mmoja au bila mchepuko kabisa.... IVO
 
Anaipunguza tu sio kwamba anaacha.

Hhahahahaaaaa weeweeee, ofcourse kuacha kabisa ni ngumu. Si unajua tabia ni mazoea na jasiri haachi asili.......:tongue:
 
Leta story za hao waliobaki! Wa kwenye sherehe na wa kanisani.

All the same story yaani wanafanana kwa tabia na ndo kilichonifanya niwaze kuwa hawa ni matapeli wa mawazo, sometimes habari zao hazoieleweki eleweki. Wanakuwa na story mingii ya kujikweza ili umuamini kuwa ni mtu prominent mwenye pesa zake na shuhuli zake kedekede kumbe waapi ni kama Yahaya tuu. Haijulikani kazi yake, anaishi wapi wala aka zake. Mmoja wapo kuna siku katika maogezi akaniambia tatizo lako Kasie wewe ni mjanja sana na unadadisi na kuuliza maswali mob, lete Key hiyo tuile. Nikamcheki kisha nikasepa na kutupa kuleee
 
shikamoo january.... naona ulipotezwa mwezi mzima, umekuja kutokea mid feb!!! btw pole na majukum....

Waacha weeeh, hapana chezeiya Kasie nshaanza kuzichanga kama sina akili nzuri
 
Ukiwa muongo usiwe msahalifu.
I dont need to lie, why should I???!!!
Umesema una michepuko unataka kuipunguza wakati huohuo unasema kuwa Wewe kuvua pichu yako sio rahisi hata ukilewa!!!
Yes, michepuko huko nyuma nilikuwa nayo mingi tuu, kuanzia ya live crush hadi online crush, in reality to prove my words tafuta mtu anayenijua atakwambia nilivo kauzu, nakula ujana sana kujirusha kwa sana ila chupi navua kutokana na nyege kwanza zikinibana na pia naangalia suruali, sivuio chupi hivihivi tuu. Get that!!!

BTW ilikuaje yule Jamaa wa USA ulimvulia pichu the same day mliyokutana? Au unadhani tume sahau Ile stori yako ya safari ya USA?

Hhahahahahaaaaaa hapana chezeiya Obama state, Sean was anaother chump. Dont remind me of him, his movement, the way he roll, the way he bump up and down haah!!! His trouser was mmmmuuuaaahhhhh!!! Superb!! Wacha niishie hapo maana waweza nifanya this Easter niende USA buree. Au ulisoma USA nimevua chupi kwa wangapi? was only Sean japo niliona wengi, chupi navua yes, but I choose.................
 
Oh my bad Suga'pie Honey Bun.

NN dont force me to throw a pillow on ya head............... pls go and for sure when I come where u r u'll scream...............loudly......................
Honey Bunny...Sugar Pie :A S 11: hahahahaa
 
Back
Top Bottom