NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
naona jamaa biashara matangazo, subiri watakuja pm!
Mkuu sio we we uliyesema kuna wanawake wanataka kukubaka? Mkuu Tyta popote ulipo nilikuwa nakusalimia tuu.
huyu kijana muongo muongoHaha... Tyta njoo
hapo kwenye green ...unakumbuka hii thread yako hapa...?Naombeni ushauri. Hawa warembo wamekuwa wajigonga sana kwangu na mimi nimekuwa kauzu zaidi ya dagaa.
Huwa nashangaa eti unakuta mwanamke anakwambia he is just a friend. Yaan dume na lina nguvu za kiume unaniambia hivyo.
kwani hapa chini ulisemaje...Sijui ni chinje au ni ache.
Yaani mimi huwa siwezi kabisa kuwa na just a friend lazina nitamuomba tu.
Aise wanawake wa ajabu kweli.
Kuna msichana mmoja mkali kinoma kuzidi mpenzi wangu.
Anataka nayeye nimfanyie kama rafiki yake. Amekuwa akinisumbua yapata miezi mitatu sasa.
Huyu demu hafichi ananieleza ukweli jinsi anavyosimuliwa na rafiki yake namna gani ninavyo mpandisha panapo Kilimanjaro.
Amekuwa anatamani sana na yeye apate nafasi hiyo japo siku moja.
Sijui ni chinje au ni ache. Unajua mitego hii nyie wapenzi mnatutengenezea.
Hiyo midege ya mtume .... we chinja ule.....Aise wanawake wa ajabu kweli.

huyu kijana muongo muongo
[h=3]Warembo 7 wananiwinda wanibake[/h] Started by Annael, Yesterday 11:20
hapo kwenye green ...unakumbuka hii thread yako hapa...?
[h=3]Mimi siwezi kuwa na urafiki wa kawaida na mwanamke asiye ndugu yangu[/h] Started by Annael, 25th August 2014 20:53
kwani hapa chini ulisemaje...