Asante nshakaribia....
Wala sina jipya lolote, mie mwenyewe ndo nimerudi mpya japo bado niko kigagulaa bin no see na bado nakula ujana hehehe.
Nilipewa project flani hivi niifanyie kazi, project imeisha nshavita mshiko wangu niko swafiii.
Genny na wewe umenichunia kwel sku hizikaribu tena
nipo kolomije kwa mudaGenny na wewe umenichunia kwel sku hizi
Hahaha
Ulimisika sana hapo
Unaonaje na mimi nije na mshiko wangu halafu tuchange, iwe cha wote
Someone is missed here........
Hahahahnipo kolomije kwa muda
Kwani mchango dolari ngapii,,,,,bureau zimejaa sana sikuhizi,,,Hahahahahahaaa kwenye hela hapo ndo moyo wa mtu ulipo. Wee unatafuta ugomvi na Kasie tuu. Mie zangu ni dolari sasa ukitaka tuzichange lazima currency iwe moja ya dolari.
Karibuu hehehe.
[emoji23] mpk kielewekeHahahah
Iyo mishen imposibo, urudi sasa huku
Nimekumis
Hahahahahahaaa kwenye hela hapo ndo moyo wa mtu ulipo. Wee unatafuta ugomvi na Kasie tuu. Mie zangu ni dolari sasa ukitaka tuzichange lazima currency iwe moja ya dolari.
Karibuu hehehe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] mpk kieleweke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wewe toka upotee, jamaa bado wamo tuu.
Misheni ngumu itakochosha
Koh koh koh....can I get a bottle of water please?