Kasie is Back......

Kasie is Back......

Hahaha
Goja niweke kwnye malengi ya mwaka hii ishu

Happy you are back Kassie, endelea kutu bless hapa

All the best....

Happy that you are happy am back.. . Keep on enjoying Kasie' s blessings
 
Hahahahahahaaa na huu jee...
Kioo jioni alikivunja nanii, sijui sijuii wamwisho akamatwee atiwe gerezaaaniii hahahahaa
Hahahah...bhas nilikuwa napendaga san.kianza kufukuzana hapo,ase nalenga yule naempenda tyu wengne najifany siwaoniii...nzur sana hii mam.
 
Usiwasemee moyo wenzio sana ya moyoni kwako you. Watakuja kukukana hapa kuwa hakuna aliyeni miss....
Mie sio kusema siishiwi majibu bali najikuta tuu naongea....
Duh,,,,kweli bhana,,,,basi sawaa,,,,nimekusoma,,,
 
Mmmmwaaaaah! Wellcome back Baby, I missed you a lot in our back stage!
Holla,
Happy Sunday everyone...

I hope you are all fine, today am happy for myself. I don't have anything serious to share with you.... I know you are busy with Bashite issues. I don't want to interrupt you .... napita tuu kimya kimya.

Someone is missed here........

Am looking for someone..... kuna ule michezo tulikuwa tunacheza wakati tuko wadogo tulikuwa tunaimba hivi....

Namtafuta mume wangu, namtafuta mume wangu.... wengine wanaitikia...
Hapa hayupo hapa hayupo...
Kaenda wapi, kaenda wapi...
Kaenda kuwinda kaenda kuwinda...
Panga kampa nani, panga kampa nani....
Kampa nanii hii kampa nani hii
Shoka kampa nanii shoka kampa nanii
Kampa nanii hii kampa nanii hii....

Huu mti gani, wa mchongoma...
Nikiukata haukataikiti
Hata kuwa shoka haukatiki
Hata kwa panga haukatikiiiii

Namtafuta wangu.... namtafuta wangu... yuko wapii.. ...

Kasie missed you alot.
 
Mmmmwaaaaah! Wellcome back Baby, I missed you a lot in our back stage!

Thank you....

Huko back stage ndo waapiii? Memory imekata mwenzio heehee
 
Back
Top Bottom