Keshaona kuna Rais wa michongo ndo maana kaamua kupunguza kasiWakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.
Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.
Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.
Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
Bodi ya TPA imevunjwa na Rais sababu ya madudu yaliyogunduliwa na Waziri Mkuu...Kwa kuwa hana Mamlaka ya kuvunja Bodi alikabidhi Taarifa kwa Rais Samia Suluhu Hassan akachukua hatua kwa maslahi mapana ya Nchi yetuAnajua hatakiwi kumzidi kasi bosi wake. Akijaribu atakuwa amejiondoa kwenye ka-mkeka ka kuwania urais 2030.