Kashinde na pozi lake akipiga selfie

Kashinde na pozi lake akipiga selfie

Mie tena ni kigoli wa MMU? Na miaka yangu hii38??! Usinitafutie kashfa kama za siti miss TZ
We unataka nimwagiwe maji moto na mkeo eehh!! Kuniita mpenz... mie mkesha club kula ujana...

Au sio wewe hapa?
 
Attachments

  • 1414783973018.jpg
    1414783973018.jpg
    46.8 KB · Views: 251
Wewe naufahamu uchokozi wako, pls nshanyooshewa kidole asubuhi hii, na kuambiwa nimuache sukari ya JF laasivyo watanichoma sindano ya Ebola. Sasa hapa naangalia usalama kwanza

Kigoli wazeeka na ulimbwende wako, hata kama papara za ujana zimekuandama...

Maji ya moto yatoke wapi tena kisa waitwa kipenzi!!!
 
Wewe naufahamu uchokozi wako, pls nshanyooshewa kidole asubuhi hii, na kuambiwa nimuache sukari ya JF laasivyo watanichoma sindano ya Ebola. Sasa hapa naangalia usalama kwanza

Mmmmh!!!

Nani huyo wa kumnyooshea kidole mamaa ya makrashi asubuhi asubuhi hivyo...

Wakikutia sindano la Ebola miye ntakupa tiba bureeee
 
Hahahahahaaaa sucrifise sio eeehhhhhh, kutibu mgonjwa wa ebola ni sawa na kujipa boarding pass ya kwenda kaburini.................

Bana usifanye maisha yangu yakawa magumu, Kasie wawatu sijui kugombana wala kupigana wala kusutana, najua kutabasamu an kuimba tuu niwapo alone au happy.
Anyways, hope ur week end ilikuwa poa, salimie watu 7 wa kaya yako.
 
Taaluma yako ya ki sheria ndiyo unakuwa mtata

hahahahahaaaaaa laaaah....... watu wafukunyunyu. Best usiendelee zaidi utamwaga mchele penye kuku wengi.

Ila nikiwa kwenye taaluma kweli utata muhimu...............
 
Nimetisha! Mimi ni CIA wa bongo lakini nakubali jinsi ulivyo jasiri. Na simwagi mchele tena
 
Hahahahahaaaa sucrifise sio eeehhhhhh, kutibu mgonjwa wa ebola ni sawa na kujipa boarding pass ya kwenda kaburini.................

Bana usifanye maisha yangu yakawa magumu, Kasie wawatu sijui kugombana wala kupigana wala kusutana, najua kutabasamu an kuimba tuu niwapo alone au happy.
Anyways, hope ur week end ilikuwa poa, salimie watu 7 wa kaya yako.

Hahahha!!!

Pamoja sana mtu wangu Kasie...peace n love!!!
 
kabanga utafiti The Boss Tized mshana Junior and team madugude
wandugu nimepitwa na quote mlizonijibu nimechelewa kusoma na ule uzi umeshakuwa hidden..... yaani ninakiu ya kutaka kujua mliniquote nini tafwadhali nawashwaa.... au uzi umehamishiwa jukwaa la wakubwa....
Yaani nakuta notification halafu ile unafungua unakutana na hidden post aaaahhhh inanchoshaje....
 
Last edited by a moderator:

usijali Kasinde, kikubwa tulikuquote tukikuzungumzia ulivyokuwa dugude mzuri...
CC utafiti, theboss Mshana Jr.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom