Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Kuna Uzi ushafunguliwa huko wa kuwatetea Airtel.Mbwa ukimjua jina hakusumbui.
Hakuna cha approach wala nini. Mtu analeta story za madabida mara ooh watu watakosa ajira na mashudu kibao.Kuna mawazo mbadala yanaeleweka na mara nyingi yanajikita kuleta solution ya jambo, tofaut na mawazo yenu nyie kila hatua inayochukuliwa ni kupinga na kuonesha upande flan unaonewa.In short upande huo haujawah kuwa na mawazo mbadala, huko ni mawazo kupinga kila kitu.Hivi huo upande wenu jpm hakuna zuri alilowahi Fanya?Kingine mkuu Kuna mambo sio lzm uongee,vingine ukiona huwez toa hoja zenye mashiko unakaa kimya tu siku zinaenda Ila hii tabia ya kuhakikisha mnapinga kila jambo la jpm linawacost sana.Nimeusoma.na sioni.mahali Airtel ilitetewa. Watu wanahoji approaches za Rais kwenye kusimamia hizi issues na madhara yake. Wewe naona hutaki mawazo mbadala.
Hakuna cha approach wala nini. Mtu analeta story za madabida mara ooh watu watakosa ajira na mashudu kibao.Kuna mawazo mbadala yanaeleweka na mara nyingi yanajikita kuleta solution ya jambo, tofaut na mawazo yenu nyie kila hatua inayochukuliwa ni kupinga na kuonesha upande flan unaonewa.In short upande huo haujawah kuwa na mawazo mbadala, huko ni mawazo kupinga kila kitu.Hivi huo upande wenu jpm hakuna zuri alilowahi Fanya?Kingine mkuu Kuna mambo sio lzm uongee,vingine ukiona huwez toa hoja zenye mashiko unakaa kimya tu siku zinaenda Ila hii tabia ya kuhakikisha mnapinga kila jambo la jpm linawacost sana.
Mkapa ni Rais mstaafu na ana kinga ya kikatiba dhidi ya mashtaka na madai yoyote yale. Hivyo hoja yenu haina mashiko. Wengine wakithibitika, akiwemo Sumaye, Mwandosya, Chenge na wengineo wasiokuwa na kinga sheria itachukua mkondo.una
unadhani hajui? anajua sana kuwa mzee mkapa yupo kwenye dili,,ila kwa makusudi hatamgusa kabisa.. hapo wataguswa kina sumaye na wengine na lazima wakome
Magufuli ana mambo mazito sana ya kuyatatua...anafanya kazi sana na tunampongeza kwa hilo. Sasa kuna yale makarai ya Ufipa yatakuja na kuanza kupinga na kuponda.Nitarudi badae niisome vzr
Usikurupuke? Nani katoa hoja hapa na hoja gani unayoiongeleaMkapa ni Rais mstaafu na ana kinga ya kikatiba dhidi ya mashtaka na madai yoyote yale. Hivyo hoja yenu haina mashiko. Wengine wakithibitika, akiwemo Sumaye, Mwandosya, Chenge na wengineo wasiokuwa na kinga sheria itachukua mkondo.
Yaani nami nimeshangaa hapo uzalendo ndipo upotea kabisaKuna Uzi ushafunguliwa huko wa kuwatetea Airtel.Mbwa ukimjua jina hakusumbui.
Kwa bongo hii hakuna atakaekamatwa hapoMkapa ni Rais mstaafu na ana kinga ya kikatiba dhidi ya mashtaka na madai yoyote yale. Hivyo hoja yenu haina mashiko. Wengine wakithibitika, akiwemo Sumaye, Mwandosya, Chenge na wengineo wasiokuwa na kinga sheria itachukua mkondo.
Hayo mawazo mbadala mbona hayatolewi.tunachosoma na kusikia ni kupinga hata kwenye ilani yenu mlioitoa kwenye mtandao hamna lolote bora mkae kimya badala ya kuongea upupuNdugu yangu tatizo lako na wenzio wengi pamoja na JPM ni kitu kinaitwa chauvinism. Ukiwa na hali hii hutoweza kukubali kusikiliza mawazo mbadala.ya wengine. Ni litu cha hatari sana. Nimeona katika hoja zako unalalamika sana watu kumpinga Rais. Yet wewe mwenyewe uko busy kuwapinga wengine na mawazo yao pasi na kuacha kashfa.
Chauvinism is a form of extreme patriotism and a belief in national superiority and glory. Whereas patriotism and nationalism may represent temperate pride, chauvinism is intemperate. It can be also defined as "an irrational belief in the superiority or dominance of one's own group or people". Moreover, the chauvinist's own people are seen as unique and special while the rest of the people are considered weak or inferior!
Unatarajia ata-react vipi?! Nauliza cuz' for what I know JPM hana historia ya ku-deal na matukio ambayo wahusika ni high profile politicians! Kikubwa anachofahamu ni ku-deal na matukio ambayo wahusika ni watendaji wa taasisi na agencies za serikali na mpaka hivi sasa, 2 years later, sijawahi kusikia chochote cha maana kwenye matukio hayo!!! Au bado uchunguzi unaendelea?!(Hapa) At this juncture, Dr Magufuli the current President is the second Mwl Nyerere, he will arrest the situation very soon, he is a no nonsense president.
Baada ya kuona jinala Sumaye umepaniki kamandaUsikurupuke? Nani katoa hoja hapa na hoja gani unayoiongelea
Mzee Ruge, Singasinga, Kitilya, Sumari, Noni.....hao wote sio watu wadogo na wana kesi nzito za kujibu.Unatarajia ata-react vipi?! Nauliza cuz' for what I know JPM hana historia ya ku-deal na matukio ambayo wahusika ni high profile politicians! Kikubwa anachofahamu ni ku-deal na matukio ambayo wahusika ni watendaji wa taasisi na agencies za serikali na mpaka hivi sasa, 2 years later, sijawahi kusikia chochote cha maana kwenye matukio hayo!!! Au bado uchunguzi unaendelea?!
Unaweza kutaja lolote au any high profile politician kutoka CCM ambae amewahi kukumbana na mkono wa JPM kama ambavyo unajaribu kuaminisha watu hapa kwamba "he's no nonsense" president?!
Hayo mawazo mbadala mbona hayatolewi.tunachosoma na kusikia ni kupinga hata kwenye ilani yenu mlioitoa kwenye mtandao hamna lolote bora mkae kimya badala ya kuongea upupu
Mkuu Bukililo, jitahidi uwe unanisoma kwa makini kwa sababu ni nadra sana kwangu kufanya makosa kwenye uchaguzi wa maneno ninayotumia!!!Mzee Ruge, Singasinga, Kitilya, Sumari, Noni.....hao wote sio watu wadogo na wana kesi nzito za kujibu.
Msipende kuandika vitu kwa kujipa moyo. JPM ni kiongozi anayetaka mambo yaende, ukimletea urasimu lazima atakunyoa kwa kutumia kipande cha chupa.