Lisemwalo lipo ni vyema tuendelee kuchunguza yapo mengi yataibuka kama wenye mamlaka hawataficha Ukweli mapema kama walivyofanya kwenye makinikiaNimesoma post ya urambo tabora inasema Saskatel wakawa wanaihujumu TTCL ili waiimarishe Hits. Na wamekusanya billions ambazo hazipo kwenye akaunti ya TTCL.
Ununuzi wa ndege za bombadia napo kuna Wajanja walipiga cha juu 10% na mojawapo ni Maliyamungu Bashite je? Huo wizi atathubutu kuugusa?Magu
Magufuli shugulika nanmajizi hayo
Akija akaona kwenye Dili yupo Mzee mkapa anaweza kufanya uchaguzi feki kisha wakafukia kwenye makabati kimya kimya.Magufuli njoo huku JF uone mambo yalipoanzia
Wazalendo ndiyo juzi juzi wamenunua ndege kwa cash na Wajanja wakala cha juu 10% , hao wazalendo wamekula cha juu toka Acacia na barrick Habari ya makinikia imezimwa kimya kimya pasipo watanzania kujua chochote.uzalendo ndiyo kuuza nyumba za serikali na kuingia gharama kuwapangishia nyumba viongozi wa serikali.Wahujumu uchumi ni hao hao CCM wanaojinasibu wazalendo
Wazalendo ndiyo juzi juzi wamenunua ndege kwa cash na Wajanja wakala cha juu 10% , hao wazalendo wamekula cha juu toka Acacia na barrick Habari ya makinikia imezimwa kimya kimya pasipo watanzania kujua chochote.uzalendo ndiyo kuuza nyumba za serikali na kuingia gharama kuwapangishia nyumba viongozi wa serikali.
Mfukua makaburiHakusikia?
Huo utaguswa na awamu nyingine kama ambavyo awamu hii inagusa wizi wa awamu zilizo pita maana tanzania haijawahi kupata viongozi wenye weledi kwa 100% kila mtu akiingia lazima aache makando kando.kila awamu ina hangaika na wizi wa awamu za nyuma maana haiwezekan awamu ikapita bila wizi kufanyika hapo ndio huwa sijui tatizo ninini.Ununuzi wa ndege za bombadia napo kuna Wajanja walipiga cha juu 10% na mojawapo ni Maliyamungu Bashite je? Huo wizi atathubutu kuugusa?
Hahahahaaaaaa halafu chakushangaza watu wanadai mafisadi wapo upinzani huwa siwaelewi kabisaaa ,kwenye hili la TTCL chengw NDANI. hahahaaaaaaaaaa chengeeeeeeeeeeChenge adhabu yake siifaham
Tundu Lissu anahusikaje na hayo madudu yenu, watu wamesema sana lakini nyinyi mkaziba pamba masikioniTundu Lissu na genge lake watapinga hatua hizi watawashawishi wazungu wakashtaki mahakamani.
Alichoongea ni sahh kabisa.Subiri chadema waanze kuandaa madesa ya uteteziHebu kuwa serious ndugu katika mambo nyeti kama haya. Kufanya mizaha kama hii ni kurudisha nyuma.jitihada za wengine pasi na umuhimu wowote ule.
Usihamishe mada za kwa hoja za kipuuzi tena usizo na uhakika nazo. Unalengo la kupinga Ila sema hujui upinge vipi.Hata kukaa kimya ni busara.Ununuzi wa ndege za bombadia napo kuna Wajanja walipiga cha juu 10% na mojawapo ni Maliyamungu Bashite je? Huo wizi atathubutu kuugusa?
unaAkija akaona kwenye Dili yupo Mzee mkapa anaweza kufanya uchaguzi feki kisha wakafukia kwenye makabati kimya kimya.
Alichoongea ni sahh kabisa.Subiri chadema waanze kuandaa madesa ya utetezi
Kuna Uzi ushafunguliwa huko wa kuwatetea Airtel.Mbwa ukimjua jina hakusumbui.Una hakika na huu uteyezi wako? Ama unatia tu chuki za kisiasa?