Kashfa ya Ngono: Tigo/Ison Customer Care

wafanye kufunga cctv camera kwa hizo sehemu zote za ofisi. Bongo bado maje majengo mengi hayajawekwa hizi camera kwani huwa msaada mkubwa sana kiusalama.
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja linajongea mm nafikili hatua za kulifutilia jambo hili ni muhimu sana
 
uwe unafkir kwa mapana mkuu!!
Hapa kuna harufu ya wivu kwa mujibu Wa mleta mada kwa sababu akuna aliyelazimishwa ni Kati ya wafanya ngono hao pili hao inaonekana ni wapenzi Na sio wafanyakazi wote wanaofanya hayo mambo hakuna kitakacho mpandisha MTU kazini zaidi ya juhudi zake ngono ina mwisho amshauri ndugu Yake aongeze bidii katika kazi
 
Kulea upuuzi km huo ipo cku hata wanaume mtalazimishwa tgo kisa unabembeleza kazi.amka mtanzania muda umefika
 
Hivi hata wahindi nao wanapiga kazi
 
Mtu akisema watanzania ni wavivu na hawaajiriki anaonekana anatukana....... .hakuna work ethics kwa watanzania walio wengi..shame.
 
Mkuu nafikiri ulikuwa unataka kuonyesha post yako ndefu umeandika mpaka umejichanganya mara boardroom harafu kwenye parking,sasa lipi sahihi?
 
Wivu tu akuna kingine acha chuki Na wafanyakazi wenzako data taratibu za kupeleka malalamiko kiofisi kuna HR unaweza kumweleza kero zako
Sasa kama na huyo nae ndiye anayeliwa hapo parking kwenye area itakuwa kesi ya nyani umempelekea ngedere.
 


upo sahihi kabisa kaka, nami hilo nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara juu ya kampuni hiyo kutrain watu kila mwezi na kuwaajili ni kuwalipa laki mbili na 70
 
Mleta mada lazima ana maslah binafsi ndani ya hili, kwanza anasema kamchezo kanafanyika board room, then kwenye parking, why two unrelated positions??? Ya ngoswe mwachie ngoswe


tuliza likichwa lako soma nilichokiandika utaelewa nilichosema; matyako ya shangazi yako
 
Mtoa mada muongo na mnafiki, itakua umetimuliwa kazi au uliomba kazi ukakosa.


wewe matako kweli wewe; tambua sifanyi kazi hapo na qualification zangu ni zaidi ya kazi hiyo, na sijawahi timuliwa kazi sehemu yeyote ili; ukitaka njoo pm nikuoneshe cv yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…