Niliapa kutowapa ushirikiano polisi kwa jambo lolote lile na pia sitaki msaada wao
Haki ya nani inatia uchungu na sometime inachekesha hapo kwenye red...mwema ni shemeji yake prezidaa,chagonja yeye ni nani?mbona wanafaidi sana haya madeal bila hofu yoyote?Na hiyo ni batch moja, kumbuka walifukuzwa ili wengine waingie, zamu yao wapigwe vipara, warushwe kichura then wana ambiwa hawafai.
Hata wakiondolewa haitasaidia lolote!Sanasana wengine wataona ndiyo nafasi yao ya kula!Tumeshasema mara nyingi Mwema, Chagonja na wenzao waondolewe lakini kuna mtu anawalinda. Waacheni tu yaishe.
Hata wakiondolewa haitasaidia lolote!Sanasana wengine wataona ndiyo nafasi yao ya kula!
Kwa taarifa yako hapo ni mwanzo tu,bado kuna hongo ya kupangiwa kwenye ulaji zaidi.Kuna mikoa ambayo haupangiwi hadi uhonge!Na si mikoa tu,mfano askari wanapenda pia kupangiwa sehemu ambazo zinahusisha uvushaji wa magendo na maliasili,ama usafirishaji wa magendo na madawa ya kulevya nk.Pia hata wengine hupenda kupangiwa mikoa yenye ulaji wa kutosha kwenye traffic police.The system is rotten!
Namna ya kudeal na tatizo hili si kubadilisha hao kina Mwema na Chagonja,tatizo ni ccm na mfumo tulionao(chini ya ccm),period!
Huwezi kuwa na rushwa ndani ya chama chenye nguvu kuliko serikali halafu utegemee eti rushwa itaisha serikalini kwa kufuta viongozi hapa na pale.
Sijui itakuwaje,inabidi wanaotaka kuingia madarakani wali address hilo.Inawezekana utaratibu uko sawa tu sema rushwa imekuwa kama utamaduni wetu.Chama kinachotaka madaraka ni lazima wa address hizi issue na kueleza kiunagaubaga kuwa ni kwa kivipi wata deal nazo.Unafikiri mfumo wa jeshi la polisi utakuwaje CCM ikiondolewa madarakani?
Jk vunja hili jeshi ili walau tukuone upo serious,unataka wafanye nini ujue wameoza hawa?
Polisi ni sehemu ya jamii yetu, jamii yetu yenyewe inaabudu rushwa kwa hiyo mi sishangai maana jamii yetu yote ndo ilivyo. Mbona hamshangai wajumbe wa NEC ya CCM kupatikana kwa rushwa wakati hiki chombo maamuzi yake ni makubwa kwa nchi yetu?
Rushwa ni kitu cha kawaida tu kibongobongo.
radhia unapatikana wapi natamani tufanye one night stand