Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,639
- 29,512
Imeripotiwa kuwa waziri Simbachawene ametumia cheo chake ili kupeleka umeme jimboni kwake lenye kaya 80 tu zenye uwezo na kuruka jimbo la Kilosa ambalo lina kaya zaidi ya 500 zenye uwezo wa kuvuta umeme.
Hayo yameripotiwa na kituo cha ITV saa mbili na wakazi wa Kilosa wamegoma nguzo kupita mashambani kwao ili ukaangaze jimbo la Simbachawene.
Hayo yameripotiwa na kituo cha ITV saa mbili na wakazi wa Kilosa wamegoma nguzo kupita mashambani kwao ili ukaangaze jimbo la Simbachawene.