Kashfa nzito vodacom-Wasajili mteja aitwaye Freemason Shetani!

Kashfa nzito vodacom-Wasajili mteja aitwaye Freemason Shetani!

Status
Not open for further replies.

DJ Baraka

Senior Member
Joined
May 15, 2013
Posts
177
Reaction score
82
Ukitaka kujua kama ule mpango wa kusajili numbe ni danganya toto basi nakuwekea number ya mteja aitwaye 'FREEMASON SHETANI' kama utaratibu ulivyo katika kusajili number ni lazima mteja awasilishe vitambulisho vyake nnk,sasa sijui huyo mteja alitoa wapi vitambulisho,hii ni aibu kubwa kwa vodacom. kama unataka kujua wewe tafuta usajili wa mteja mwenye number hii 0768 36 04 97

karibu
 
wewe una biashara gani na freemanson shetani hata ujue usajiki wake?! haya ndo matatizo ya kuomba namba za watu: club ambiance, sewa bar, uwanja wa fisi, coco beach na kinondoni makaburini. harafu kesho yake unaombwa salio na unatuma kweli!!!! na ukome.
 
Duh ! namba kama hizi ndiyo zinazotumika kutekea watu na hatimaye kuwang'a kucha na meno , ngoja nijaribu kumtumia buku nijihakikishie madudu haya !
 
Duh ! namba kama hizi ndiyo zinazotumika kutekea watu na hatimaye kuwang'a kucha na meno , ngoja nijaribu kumtumia buku nijihakikishie madudu haya !

Wewe tuma tu hiyo Buku yahangaike nawe usiku...
 
wewe una biashara gani na freemanson shetani hata ujue usajiki wake?! haya ndo matatizo ya kuomba namba za watu: club ambiance, sewa bar, uwanja wa fisi, coco beach na kinondoni makaburini. harafu kesho yake unaombwa salio na unatuma kweli!!!! na ukome.

No,issue hapa ni vodacom kutokuwa makini na wateja wao wanaowasajili
 
Ni kweli hiyo namba imesajiliwa kwa jina hilo, kwani haiwezekana mtu akawa na jina hilo na likawa halisi?
 
Nami nimejaribu kuifuatilia hiyo namba kweli ni aibu sana kwa VODACOM maana wanachofanya ni usanii mtupu huwezi sajili mtu kwa jina la FREEMASON SHETANI kuna uwezekano hata kwenye usajili wanafanya usanii tu wala kanuni hazifuatwi kabisa mwisho kunatokea mtafaruku katika jamii na watu wengi sasa wanaamini Mtandao wa VODACOM ni wa FREEMASON.Ni aibu sana kwa jamaa hawa wa voda.
 
mtoa mada ebu tuambie umeitoa wapi make siku hizi nasikia watu kwenye interview wanakaguliwa hadi account zao za fb na tweeta kuangalia kama ni waadilifu ama lah!
 
No,issue hapa ni vodacom kutokuwa makini na wateja wao wanaowasajili

Vodacom hapo hawana tatizo lolote. Labda wewe ndio una matatizo yako binafsi. Kwenye kusajili wao huwa wanaomba kitambulisho chako halali chochote na hasa cha kazi au cha mpiga kura. Sasa kama wazazi wako walikupa jina hilo na wewe ndio umetumia kwenye kitambulisho chako unataka wao wakusajili kwa jina gani? Au unataka wao wakupe jina lingine?.
 
wewe una biashara gani na freemanson shetani hata ujue usajiki wake?! haya ndo matatizo ya kuomba namba za watu: club ambiance, sewa bar, uwanja wa fisi, coco beach na kinondoni makaburini. harafu kesho yake unaombwa salio na unatuma kweli!!!! na ukome.

inaelekea kaka ndo viwanja vyako hivyo?!! We mkare
 
Siamini na sitaki kuamini kama kuna mtu anaitwa shetani..usani mtupu na uzembe.siku hizi huulizwi hata kitambulisho unapoenda kufanya usajili. Mimi kuba mtu alishawahi kunipigia tena akawa anasumbua kweli, kumchek mpesa kasajiliwa kwa majina yangu..nilipata shock kidogo nikashindwa kuelewa.nikaenda polisi baadae vda lakn sijapata msaada wowote ad leo zaid ya kuzungshwa
 
No,issue hapa ni vodacom kutokuwa makini na wateja wao wanaowasajili

There is; you r in a busness with her/him/it, your mutual transactions led you to have her/his/ its identity, investigations begin with you.
 
Huu ni uzembe wa hali ya juu, sidhani kama kuna mtu mwenye jina la hivyo hapa tz.
 
... Yawezekana ni mmoja wa wanachama wa freemasons hapa TZ, kwa Dar Jumba la Freemasons lililoko eneo la posta jijini Dar es salaam, karibia na Benki kuu ya Tanzania, usawa wa Hotel ya The Kilimanjaro (hyatt Regency Dar)
...
=
tanzania210.jpg

=
4782150_orig.jpg
 
Dah hii noma voda

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Duh ! namba kama hizi ndiyo zinazotumika kutekea watu na hatimaye kuwang'a kucha na meno , ngoja nijaribu kumtumia buku nijihakikishie madudu haya !

Watanzania ni rahisi sana kutapeliwa. Sasa mkijaribu watu elfu mbili kutuma buku buku ili kuhakikisha kama ni kweli hamwoni kwamba mtakuwa mmeshamchangia mtu fedha ya kutosha! Hii ni njia ya kukomba vibuku vyenu.... amkeni!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom