Kashfa nyingine NSSF

Kashfa nyingine NSSF

Umemjibu vema mkuu,wanadhani dau ni mtakatifu,huyu dau ni madharau yalimzidia ange keep low profile wasingemshugulikia ila aliona mtu pekee ni jk na kujibu hovyohovyo hata waziri wake alikuwa anamdharau hamshirikishi mambo ya nssf na hata pm pinda hakumjali,jpm ndo kabisaaaa nakumbuka kuna insidence binamu wa jpm alieda na kimemo amsaidie ishu fulani ila alivyojua tu ni kafiri alimnyima msaada,na ile ishu ya daraja na majibu ya kunya alopata toka kwa mzee wa azimio,dau dauuuuu ole wakooo
wewe ni mtu wa wapi? hivi vimemo ndo vinaua nchi kama Dau alikataa vimemo basi namuona ni shujaa! Na kama amefukuzwa kwa vile alinyima binamu wa JPM msaada basi ni ndo inavyotakiwa hatutaki unduguzation!
 
wewe ni mtu wa wapi? hivi vimemo ndo vinaua nchi kama Dau alikataa vimemo basi namuona ni shujaa! Na kama amefukuzwa kwa vile alinyima binamu wa JPM msaada basi ni ndo inavyotakiwa hatutaki unduguzation!
Yeye mbona ndg zake wote walihamia nssf baada ya kuteuliwa,hakumyima sababu ni jpm il sababu ni kafiri,sasa ndo ataijua vema ccm
 
Bora ukae kando maana hujui yaliyojificha ndani ya huyu jibwana,amenifundisha chuo na nimefanya nae kazi TPA kabla hajasimamishwa kwa mambo haya haya ya kijinga na baadae kurudi kusoma magazeti kabla kk hajampigia debe nssf
 
Ipo siku tutaheshimiana tuu.
Akiingia madarakani rais muislamu hakuna kashfa hatapewa. Barua za kichungaji kila Siku.
Mawaziri wanaofuata kikamilifu dini yao mnawasingizia ubaya.
Sasa mmehamia hata kwa watendaji wakawaida.
Ila ipo siku

Bila ya kumsahau Mkuu wa Usalama wa Taifa NI Mchungaji.
 
Pamoja na yote DHRA aliyetumbuliwa Mama matesa sijui elimu lakini ukweli kwamba alisoma zamani hii kwa sasa yamuweka pabaya Ku submit her certificates to be verified. Huyu mama was the central failure ya recruitment and HR sababu alikuwa akipewa vimemo na Day yeye anaajiri tu bila hata ya kuthink first. Na yeye pia ameajiri ndugu sake wengi kwa figisufigisu.zipo story kwamba ili uajiriwe ni lazima ukate million kuendelea.
Huyu Dominick ni mdogo Wa mwisho Wa king Wa open university. Akijinasibu amesoma Kent univ.
 
Kimya cha pascal mayallah kinatia shaka

maana ndiye unofficial PR officer wa NSSF humu JF kuja kutetea uongozi mpya wa NSSF sijui kalipwa kiasi gani

maana alifikia hatua ya kulazimisha uongozi wa JF kufuta au kuhamisha threads ambazo zilikuwa critical kwa NSSF

nashangaa hii bado ipo humu
Mkuu hii ndio huwezi amini, hii ndio naiona leo.
Yaani kumbe kuna member wana uwezo wa kuulazimisha uongozi wa jf kufuta au kuhamisha threads critical kwa NSSF? !. Huu ni uwezo wa aina gani? !.

Kumbe NSSF, imeajiri unofficial PR man humu jf, hao NSSF insiders kibao waliomo humu wameshindwa kuleta info za ajira yake pale NSSF? .

Just come clean and be open.
Paskali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom