Kashfa nyingine NSSF

Kashfa nyingine NSSF

Hii nchi bwana!

Majungu,umbea,unafki,usaliti,udini,ukabila,ukanda,undugu na mambo mengine mengi ya ajabu ajabu.

Siwezi kushangaa kwanini maendeleo yetu kama nchi yana mwendo wa kinyonga.
 
Sasa hivi wameamua kuacha ku invest kwenye barabara na umeme ambao walikuwa wanapata faida kwa asilimia 300 na kwenda ku invest kwenye mabwawa ya samaki

From infrastructure investments to exotic fishtanks

Usiniulize Corporate Plan yao iko wapi
Kweli hata Mimi ntakuuliza ili kujiridhisha
 
Punguza hasira
Ipo siku tutaheshimiana tuu.
Akiingia madarakani rais muislamu hakuna kashfa hatapewa. Barua za kichungaji kila Siku.
Mawaziri wanaofuata kikamilifu dini yao mnawasingizia ubaya.
Sasa mmehamia hata kwa watendaji wakawaida.
Ila ipo siku
 
Anajua kuendesha garii??
Ndiyo....
Basi aje aanze kazi wiki ijayo..

Kumbe anajua kuendesha automatic transmission....asilimia kubwa ya vijana wa daslam wanasemaga wanajua kuendesha gari, lkn H transmission hawajui

Huyu mjamaa angekuwa anaweza kuendesha gari (H gear na Auto)
Basi hii topic isingekuwa hapa sasa ivi
 
Sasa hivi wameamua kuacha ku invest kwenye barabara na umeme ambao walikuwa wanapata faida kwa asilimia 300 na kwenda ku invest kwenye mabwawa ya samaki

From infrastructure investments to exotic fishtanks

Usiniulize Corporate Plan yao iko wapi

We kenge infrastructure ipi ilolipa zaidi wali inflate figure za project wakagawana,subiri vyombo vya dola vimalize uchunguzi ndo utajua kilichokuwa kikifanyika,hiyo ya kuhama mfuko mlipuko ulianza dau alivyoanza kuleta udini nssf,engineer wa hayo mambo ni meneja wa ofisi ya pale mlimani city mr nchula,
 
si hivyo tuu

Hugo anayekaimu naffs ya Chiiku Matessa anaitwa Dominic Mbwete ambaye ana degrees mobile ambazo ni fake na kaka yake yuko chuo kikuuu cha Dar es salaam ambaye ni mtu wa karibu sana na mkurugenzi wa sasa wa NSSF alimwombea arudishwe Dar na kupewa kazi ya kuhakiki wenye degrees feki

Basically Mwenye degrees feki ana hakiki mwenzake wenye vyeti feki/wafanyakazi hewa

Mkuu matesa na mbwete yupi ana degree fake,huyo chiku aliombwa apeleke vyeti tangu aajiriwe to date hajapeleka
 
Ivamiwe vipi mkuu si mjumbe kaeleza ya ukweli ukiwa na hoja mbishie,ila nssf ni majanga ukienda ofisi ya morogoro siku ya ijumaa saa sita hupati huduma ukiuliza wako wapi staff unaambiwa wameenda msikitini,ukidodosa utaambiwa jinsi dau alivyoisilimu nssf, ni majankaa,
Tuanjuaje ni ukweli? Mbona hatujapata uthibitisho? Hayo aliyosema ni uchunguzi wake binafsi au ni taarifa ya chombo kipi cha uchunguzi?
 
Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.

Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.

Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.

Mungu ibariki Tanzania.
Yeuwii. ...Mwenye Enzi Mungu aitete nchi yetu milele yote
 
Wew no mjinga,sio vitu vya kutuandikia humu,wew kama unabifu na hao NSSF we kamalizane nao kwa namna unavyojua,kwani wangapi wamepeana ajira kienyeji lakini hatusemi
 
Hivi hii nchi ni ya kwenu peke yenu au kwa kuwa tuliwacha metoka vijijini hata kuvaa hamjui mekuwa wasemaji tulisahau kuwapiga picha kipindi mnaingia mjini nchi hii ni ya wote hilo mnaweza kuwa hamlijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom