Kashfa nyingine NSSF

Kashfa nyingine NSSF

Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.

Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.

Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.

Mungu ibariki Tanzania.
Tanzania nizaidi yauijuavyo, wanaojifanya wanajua HAWAJUI ,wanaojua ukiwapa WANAHARIBU.
 
Wew no mjinga,sio vitu vya kutuandikia humu,wew kama unabifu na hao NSSF we kamalizane nao kwa namna unavyojua,kwani wangapi wamepeana ajira kienyeji lakini hatusemi
Ndo mwisho sasa,kwani wangapi walikula mshahara hewa na wanshughulikiwa,hapa ni kuwashughulikia wote wanaoajiri vi.laza
 
NSSF....tunasubiri uchunguzi tujue mbivu na mbichi!! Waliochafuka watapelekwa kisutu wasafi watarudi kazini!
 
Yaani Mada yoyote inayohusu NSSF ikiletwa hapa ,Agenda inabadilika kuwa udini ,hivi hamna vingine vya kuchangia ?
 
Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.

Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.

Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.

Mungu ibariki Tanzania.
Duh! Kweli lakini au fitina tu?
 
Yaani Mada yoyote inayohusu NSSF ikiletwa hapa ,Agenda inabdilika kuwa udini ,hivi hamna vingine vya kuchangia ?
Mi nashangaa ukizungumzia nssf tu udini unaanza kuzungumzwa. Jamani tuache mambo ya udini hayatupeleki popote zaidi ya kuchochea utengano
 
Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.

Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.

Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.

Mungu ibariki Tanzania.
Mbona mkurugenzi ni mtu mkubwa sana kuajiri dereva na mfuta vumbi?
Anasingiziwa au ni mimi tu simjui
 
Aajiriwe darasa la saba!!!madai ya kitoto kabisa hayana kichwa wala miguu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom