Kashfa nyingine NSSF

laptop67

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
350
220
Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.

Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.

Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Kwani huyo dau kwa sasa ni balozi wa nchi gani?
 
Cc:Fayza Fox
Cc:THE BIG SHOW
 
Hii nchi imeoza dawa ya hawa viongozi ni sero kwanza kisha kunye@@a debe wakalime mkonge
 
si hivyo tuu

Huyo anayekaimu nafasi ya Chiiku Matessa anaitwa Dominic Mbwete ambaye ana degrees mbili ambazo ni fake na kaka yake yuko chuo kikuuu cha Dar es salaam ambaye ni mtu wa karibu sana na mkurugenzi wa sasa wa NSSF alimwombea arudishwe Dar na kupewa kazi ya kuhakiki wenye degrees feki

Basically Mwenye degrees feki (Mbwette) ana hakiki mwenzake wenye vyeti feki/wafanyakazi hewa
 
Ivamiwe vipi mkuu si mjumbe kaeleza ya ukweli ukiwa na hoja mbishie,ila nssf ni majanga ukienda ofisi ya morogoro siku ya ijumaa saa sita hupati huduma ukiuliza wako wapi staff unaambiwa wameenda msikitini,ukidodosa utaambiwa jinsi dau alivyoisilimu nssf, ni majankaa,
DG wa sasa ni mpendwa lakini mkuu
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.

Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha
gari na alipopelekwa Shinyanga
alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi
nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote
std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.

Taja jina la huyo Mkurugenzi wa utawala
 
Kama hilo linaukweli basi hali inatisha sana.
Sasa hivi wameamua kuacha ku invest kwenye barabara na umeme ambao walikuwa wanapata faida kwa asilimia 300 na kwenda ku invest kwenye mabwawa ya samaki

From infrastructure investments to exotic fishtanks

Usiniulize Corporate Plan yao iko wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom