Unatumia vibaya hili jukwaa!Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Imekuwa kama kijiwe cha fitna!
Yes we need whistleblowers lkn hizi issues ni kama personal attacks zaidi ya shutuma za kiofisi! Upo kama mtu anayefanyakazi NSSF na huyo mdada sijui mama mnafatiliana!
Ok, wape ushirikiano PCCB nao pia ili tutokomeze huu uozo ktk serikali!