Kashfa mpya ya Mradi wa Dollar Billion 60

Kashfa mpya ya Mradi wa Dollar Billion 60

HNIC

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
1,898
Reaction score
2,199
Wakuu nina hii ya kashfa ya dollar billion 60 ambayo naamini kuwa si chini ya mawaziri 6 watafukuzwa kazi na maofisa zaidi ya 80 watafunguliwa mashtaka na serikali hii ya Rais Magufuli isivyopenda mambo ya ufisadi.

Naamini hata kunyongwa wengine watanyongwa kwani hawa watu kesi pekee inayoweza kutumika ni ya Uhaini au working against the State and National interest ya nchi hii

Sasa naona nishai kuweka vitu maana mko kwenye good mood na sitakuwa kuharibu moods zenu na leo ni siku ya Uhuru wa Nchi yetu tukufu.

Sasa naelewa kwa nini Mheshimiwa Rais alisema Tumwombee...lakini mimi haya mambo ya kuomba kwa mungu etc mimi siyaamini la naomba asaidiwe tuuu
 
Hata pato la taifa halifiki dola bilioni 60 na bajeti kubwa kabisa ya serikali ya Kikwete ilikuwa dola bilioni 10, sasa unawezaje kufanyika ufisadi wa dola bilioni 60, zaidi ya trilioni 130 za kibongo. Hao waliozifisidi wameenda kuzitumia wapi? Je walianza kufisidi baada Tu ya uhuru? It doesn't make any sense
 
HNIC, hivi unazijua Dollar Billion60?

Hizo ni Trillion zaidi ya 122, ambazo ni sawa na Bajeti yetu ya sasa Bila ya Wahisani kwa miaka5. Huo ni sawa na utajiri wa Dangote mara mbili na nusu. Ni mkwanja mrefu mno. Sasa hao mawaziri hela hizo wamekula wapi ikiwa hata Taifa zima hela hizo hatuna?
 
Potea tu ,hiyo thamani ya pesa ulioiandika yunatilia shaka.
Hivi sheria ya mitandao dondoo zake unazielewa?
 
Mtoa hoja anaidhalilisha jf, usemi ufisadi umefanyika wapi? Sekta gani? Dili gani? Ila duuuuuuuu jamani wengine tuwe wasomaji tu si lazima kuanzisha nyuzi
 
Mkuu hiyo pesa ni nyingi sana. Ni sawa na bajeti za miaka minne za Taifa hili. Bajeti ya mwaka huu ni 29 Trillioni.

Kama una uhakika na ukweli wa habari hiyo weka hapa haraka sana Mkuu bila kuchelewa.

Juzi tu Wabunge wa MACCM wanechota bilioni 2.7 kama rushwa ili kupitisha muswaada uchwara na hadi hii leo hii boss wao hajatia neno.
 
Ndiyo maana MAKONDA hataki kabisa Matumizi ya hii SHISHA ona sasa jamaa Uzi wake ulivyokaa vibaya wala haueleweki.
 
Huyu mtoa nyuzi ni nyumbu namba moja kwa sababu pesa anayosema no zaidi ya mzunguko wote was pesa kwa mwananchi mmoja mmoja

Nashauri kamdanganye mkeo atakubali
 
Back
Top Bottom