MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,990
- 34,840
Mwanzisha mada ni mtu "mzito" sana JF ....kama upo humu long time uandishi wake unaweza kukufanya ukajua anaweza kuwa nani (binafsi hata akibadili IDs najua ni yeye) ...wanaojua watatulia kusubiri vyombo ....kama huijui JF basi utakuja na maswali lukuki ....