Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Kaka wala bangi hatupo hivi. Ngoja akirudi atasema alikula nini.Umekula bangi

Mods: naomba hapo isomeke : Mradi wa dollar bilioni 60:
kuu nina hii ya kashfa ya dollar billion 60 ambayo naamini kuwa si chini ya mawaziri 6 watafukuzwa kazi na maofisa zaidi ya 80 watafunguliwa mashtaka na serikali hii ya Rais Magufuli isivyopenda mambo ya ufisadi naamini hata kunyongwa wengine watanyongwa kwani hawa watu kesi pekee inayoweza kutumika ni ya Uhaini au working against the State and National interest ya nchi hii
Sasa naona nishai kuweka vitu maana mko kwenye good mood na sitakuwa kuharibu moods zenu na leo ni siku ya Uhuru wa Nchi yetu tukufu
Hivyo nimeona niwaweke stand by tuu na kuna uwezekano mkubwa kuwa nikapotea baada ya uzi huu hivyo mwenye uwezo wa ku save a save tuu hii thread.
Sasa naelewa kwa nini Mheshimiwa Rais alisema Tumwombee...lakini mimi haya mambo ya kuomba kwa mungu etc mimi siyaamini la naomba asaidiwe tuuu
Mleta mada siku zote ni mtu makini na wengine katanua mawazo yetu kwa thread zake nyingi zenye kina ambazo unapata historical perceptive in depth and the logic of current events kupitia kwakwe.Endeleeni kupinga.ila inawezekana kukawa na ukweli.
DOLLA BILLION 60.........? TEH TEH.....Mods: naomba hapo isomeke : Mradi wa dollar bilioni 60: