Chances za hii habari kuwa ya kweli ni 0.001 kati ya 1,000.






Mkuu Hii Habari inafanana Na Yule aliesema Kuna Mradi wa Viwanda vya Cement 3 vya Thamani ya Dola Billion20
Trillion 42. Tena Kwenye Gazeti sijui walimnukuu Nani Vileeee...![]()
mkuu mbona unaenda kasi sana, muulize kwanza ni dola za wapi??? za marekani, Zimbabwe, Namibia au za wapi??Duuuuh hasa we jamaa kweli noma.......
Unamaanisha trions 120+ au mi naota?....
acha kukurupuka mkuu.. amekwambia ni dollar za inch gani???Mkuu hiyo pesa ni nyingi sana. Ni sawa na bajeti za miaka minne za Taifa hili. Bajeti ya mwaka huu ni 29 Trillioni. Kama una uhakika na ukweli wa habari hiyo weka hapa haraka sana Mkuu bila kuchelewa. Juzi tu Wabunge wa MACCM wanechota bilioni 2.7 kama rushwa ili kupitisha muswaada uchwara na hadi hii leo hii boss wao hajatia neno.
Nahisi ni ile ya uchimbaji mafutaWakuu I meant to say Mradi wa dollar bilioni 60
Wakuu nina hii ya kashfa ya dollar billion 60 ambayo naamini kuwa si chini ya mawaziri 6 watafukuzwa kazi na maofisa zaidi ya 80 watafunguliwa mashtaka na serikali hii ya Rais Magufuli isivyopenda mambo ya ufisadi.
Naamini hata kunyongwa wengine watanyongwa kwani hawa watu kesi pekee inayoweza kutumika ni ya Uhaini au working against the State and National interest ya nchi hii
Sasa naona nishai kuweka vitu maana mko kwenye good mood na sitakuwa kuharibu moods zenu na leo ni siku ya Uhuru wa Nchi yetu tukufu.
Sasa naelewa kwa nini Mheshimiwa Rais alisema Tumwombee...lakini mimi haya mambo ya kuomba kwa mungu etc mimi siyaamini la naomba asaidiwe tuuu
Wameiba kwenye nini na ni lini tena kwa mtindo gani? Maana kama una kakitu unaogopa kutuelezaWakuu nina hii ya kashfa ya dollar billion 60 ambayo naamini kuwa si chini ya mawaziri 6 watafukuzwa kazi na maofisa zaidi ya 80 watafunguliwa mashtaka na serikali hii ya Rais Magufuli isivyopenda mambo ya ufisadi.
Naamini hata kunyongwa wengine watanyongwa kwani hawa watu kesi pekee inayoweza kutumika ni ya Uhaini au working against the State and National interest ya nchi hii
Sasa naona nishai kuweka vitu maana mko kwenye good mood na sitakuwa kuharibu moods zenu na leo ni siku ya Uhuru wa Nchi yetu tukufu.
Sasa naelewa kwa nini Mheshimiwa Rais alisema Tumwombee...lakini mimi haya mambo ya kuomba kwa mungu etc mimi siyaamini la naomba asaidiwe tuuu
Mkuu inayozungumziwa ni zaidi ya trillioni 120.... Huo mpunga si wakitoto.... Mradi wa kujenga bandari ya bagamoyo na gharama zake zote bado haijafika robo ya hiyo pesa.... Bongo hakuna watu wa kuweza kuipiga pesa kama hiyo, hata uko dunia ya kwanza hawawezi......Kuhusu ufisadi huu sina uhakika lakini kuhusu thamani ya pesa ya USD billion 60 sio jambo la ajabu coz ufisadi unaweza kufanyika kwenye resources za taifa kama vile nishati,maliasili na madini na kwenda kuziuza nje.Hivi kwamfano watu wametorosha kimagendo almasi,dhahabu na pembe za ndovu kwakiwango kikubwa sana kwa mda mrefu haiwezi kufika thamani ya hiyo billion 60?
NB;Acheni kukariri na fikirieni nje ya boksi,bajeti inawakilisha hela ambazo serikali inazipata kupitia vyanzo ambavyo imevibuni kwa njia ya kodi na wala haimaanishi kwamba ndio mwisho wa pato la serikali ambalo inaweza kulikusanya kupitia kodi.Mafisadi watatu wanaweza kua na pesa kuliko bajeti ya serikali ya miaka hata mitano
Labda wameuza nchi wakapata mihela utajuaje?akili za UVCCM ni matope matupu,hiyo dola bilioni 60 nchi hii itoke wapi? huo ni utajiri wa watu jamii ya bill gates na bajeti ya Tanzania ya miaka minne

edit sasa, maana kiwango ulichoweka kinatuaminisha wewe unatafuta kesi na cyber law.Wakuu I meant to say Mradi wa dollar bilioni 60
edit sasa, maana kiwango ulichoweka kinatuaminisha wewe ni mwongoWakuu I meant to say Mradi wa dollar bilioni 60