Wow Bro unless unasafiri na airport nyingine
the situation iko hivi pale DIA
1.UNAPOSHUKA TOKA KWENYE NDEGE YAANI KWENYE ZILE NGAZI PALE KWENYE CORRIDOR UTAKUTANA NA IMMIGRATION WAWILI WATATU WANAWASAIDIA WAGENI KWENYE MAMBO YA FORMS ZA VISA AND SO ON
2.KABLA HUJAENDA KWENYE DIRISHA IMMIGRATION UTAKUTANA NA JAMAA WA IMMIGRATION (WANAKUWA MINIMUM 5 OR 6 NA UNIFORM ZA IMMIGRATIONS) NA MMOJA AU WAWILI WATU WA AFYA WATAKUULIZA VACCINATION CARD ETC
3. BAADA YA HAPO UNAKUTANA NA MKANDA WA MIZIGO USOFANYA KAZI ...
PALE NAKO UTAKUTA IMMIGRATION OFFICERS KAMA 7 HIVI WANAZUNGUKA ZUNGUKA KUOTEA WATU
4 UKIMALIZA UTAKUTANA NA CUSTOMS OFFICERS AMBAO HUWA WANASIMAMISHA WATU WEUSI NA KUWAACHIA WAZUNGU
5.KABLA HUJATOKA MLANGONI UTAKUTANA NA WENGINE KAMA 5 HIVI HAWA HUWA WANAKUWA NA MASHATI MEUPE NAO HUJIITA IMMIGRATION OFFICERS AU SIKU NYINGINE UTAKUTANA NA MWINGINE ANAJIITA USALAMA WA TAIFA ATATAKA PASSPORT YAKO na ATAKUULIZA SAME QUESTIONS ULIOULIZWA KWENYE STAGE NUMBER 2
6.KUTOKA NJE SI SABABU KUWA UKO SALAMA, UNAWEZA KUKUTANA NA MTU YOYOTE YULE ANAYEJIITA USALAMA WA TAIFA AU IMMIGRATION SASA THAT WILL ALSO DEPEND ON A DAY!!!
Kama hujakutana nao hao then utakuwa na bahati kubwa sana na inawezekana huwa unasafiri VIP mwenzetu
Je na wale nchi jirani wanaoshukia hapo DIA na wenyewe inakuwaje??Maana na wenyewe wanasumbuliwa sana,Mfano kuna jamaa mmoja yeye kwao ni Uganda na yeye alikuwa anatokea Sweden kwa hiyo alikuwa anatumia Travel Document ya Sweden ambayo ni ya miaka 5 na anaruhusiwa kuishi kwenye hiyo nchi ya Sweden maishani yake yote,Sasa kwenye Pass yake ya Travel Document wameandika kwamba haruhusiwi kuingia Uganda,Sasa je inakuwaje mtu kama huyo anakuja kwenye nchi alafu anasumbuliwa na kuambiwa kwamba usipotoa hela tutakupeleka kwenye nchi yako ya Uganda ni kwa nini?Au kwa nini asumbuliwe kupewa Visa na aanza kuhojiwa maswali mengi?Kwanza hao Home office wana mamlaka hayo kuingilia Personal za watu??Au inakuwaje hapo??Au ndio usipotoa Rushwa ndio huna haki zaidi??
Ni kwa nini wasiongee na hizo International airlines zinazotua hapo ili hizo forms za visa abiria wawe wanapewa kwenye ndege kabla ya kutua?. kwanza humo airport hata pa kuzijazia hizo forms kazi kwelikweli.
.............Wabuni njia nyingine ya kukamata wabeba unga kama vile kutumia Mbwa lakini si kwa kuangalia passport za watu na kuleta usumbufu usio wa lazima.
Tiba
Asante Tiba kwa kuliona hilo.........maana ni kutafutana ubaya tu kwa mambo wanayoyafanya pale mlangoni........si vibaya ku-check watu pale wanapowashuku.......isipokuwa approach yao si nzuri.............kama wewe ni askari polisi/UWT/Immigration na una nguo za kiraia na uko kazini kwa ajili ya kukagua...........nafikiri njia bora ni
1. Jitambulishe wewe ni nani na uombe kukagua unavyotaka kukagua
2. hawa maafisa wapewe gate lao huko ndani......maana matapeli nao wanatumia hii njia kuwahadaa wanaowasili..........
hivi vitu ni vya kawaida sana mbona.........kukaguliwa sio shida kabisa
Papizo said:Je na wale nchi jirani wanaoshukia hapo DIA na wenyewe inakuwaje??Maana na wenyewe wanasumbuliwa sana,Mfano kuna jamaa mmoja yeye kwao ni Uganda na yeye alikuwa anatokea Sweden kwa hiyo alikuwa anatumia Travel Document ya Sweden ambayo ni ya miaka 5 na anaruhusiwa kuishi kwenye hiyo nchi ya Sweden maishani yake yote,Sasa kwenye Pass yake ya Travel Document wameandika kwamba haruhusiwi kuingia Uganda,Sasa je inakuwaje mtu kama huyo anakuja kwenye nchi alafu anasumbuliwa na kuambiwa kwamba usipotoa hela tutakupeleka kwenye nchi yako ya Uganda ni kwa nini?Au kwa nini asumbuliwe kupewa Visa na aanza kuhojiwa maswali mengi?Kwanza hao Home office wana mamlaka hayo kuingilia Personal za watu??Au inakuwaje hapo??Au ndio usipotoa Rushwa ndio huna haki zaidi??
Red hiyo kaka,
yaani wewe mtu haruhusiwi kuingia hata nyumbani kwao huoni kwamba kuna sababu ya mtu huyo kuchunguzwa sana kwanini aje kwetu? Sasa hapo unatetea kitu gani? Kwanini aje kwetu sasa kama kwao wamemkana? Anakuja kufanya nini kwetu? Nafikiri hapo maafisa watakua sahihi kumsuspect mtu kama huyo na kumfanyia uchunguzi wa kina. Respect!
usisahau target ni waafrika tuuu
Cheo kapewa siyo kwa ajili ya kufanya hayooo! Hicho cheo ni asante ya jambo mkuu! Au kwa maneneo mengine ni zawadi. Hii nchi yetu itaendelea kididimia katika kila jambo ilimradi tu CCM bado iko madarakani. Nchi itabakia mogofu na ccm itakua inajigamba na kujivua gamba.Omari Nundu anaona sawa tuuu