Kasema ukweli

Kasema ukweli

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,607
Reaction score
27,607
Mi napenda sana tu
Screenshot_2018-10-02-20-12-44-1.jpg
 
Ni kweli kabisa kuna demu alikuwa anakuja ghetto kila siku akaja kwa mfililizo Wa week mbili na kila siku alipokuwa anakuja nilikuwa napiga viwil had vitatu sasa bhana akaja kwa mda Wa kama siku mbili sikumgonga. Siku ya Tatu akanibadilikia na kunifokea kuwa kwanini simgong kwa siku Tatu sasa
 
Inawezekana ikawa kweli maana hata mwanamke akitongozwa uwa anapendwa ila akiingia ndani mara nyingi yeye ndo upenda zaidi kuliko mwanaume.
 
Hahahahah! Nimemkumbuka nanilii...! Naomba ukipita hapa uje tuyamalize tu maisha yaendelee..
....[emoji125][emoji125][emoji125]

Chukua tahadhari msije wote kwa wakati mmoja, mkagongana mlangoni.[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli kabisa kuna demu alikuwa anakuja ghetto kila siku akaja kwa mfililizo Wa week mbili na kila siku alipokuwa anakuja nilikuwa napiga viwil had vitatu sasa bhana akaja kwa mda Wa kama siku mbili sikumgonga. Siku ya Tatu akanibadilikia na kunifokea kuwa kwanini simgong kwa siku Tatu sasa
Haahahha huwaga tamu sana
 
Wanawake na wenyewe ni watu kamili kama ilivyo kwa wanaume. Kwahiyo akipenda sana kudungunyuliwa sio jambo la ajabu ni kama mie ni mwanaume lakini kudungunyua ni katika mambo niyapendayo basi nikikutana na anayependa kudungunyuliwa weeeee mbona kunakuwaga chereko!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom