Kasaloo Kyanga is no more

...RIP kasaloo! lkn bado unaishi mioyoni mwetu! tungo zako zitaishi vizazi na vizazi.
 
Mkuu, huu wimbo kweli walipiga na kucheza/kuimba si mchezo. Mie ni mpenzi sana MAMA na ule wa NAKULILIA AFRICA.

Nilikuwa sijasikia kuwa Kasaloo ameshafariki hadi nilipokutana na Video ya mazishi yake kwenye Youtube (Kwa hisani ya Mzee John Kitime). Naona na yeye aliweka baada ya mazishi/msiba wa Kasaloo. Wimbo wenyewe huu hapa.....


RIP Kasaloo. He was a talented composer/vocalist. Nakumbuka zile nyimbo zake tamu akiwa Tancut Almasi (Safari sio kifoooo mama watoto..... Subiri nitarudiii mamaa... Nikirudi mama nitakuletea zawadi.... zawadi nono.... mama watooto.)
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusambaratiaka tancut, walikuwa wanakaa kihesa mjinii ringa, kasalo na pacha wake kyanga. Ugimbi kwa kwenda mbele, ndoa yake na jane butnini ikasambaratika kasalo.
 
Yaani hapa najituliza na wimbo wake mzuuuri, safari siyo kifo. Aliuimba akiwa na Tancut almasi miaka ya themanini mwishoni.wakati huo huwezi kusikia chorus za kusifia matapeli wala wauza unga.siku hizi mara papaa msofe, mara ndama toto ya ng'ombe, mara mzamili katunzi rais wa mikocheni na upuuuzi mwingine usioisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom