Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Asante Sana Shangazi WA TaifaSource BBC
Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC rais wa TLS bi Fatma Karume kaulizwa juu ya kauli za hivi karibuni za waziri wa mambo ya ndani kumtishia yeye na taaisisi hiyo amejibu kwa kisema.
Kwa miaka ya hivi karibuni TLS imeonekana kama wanaharakati na wachochezi hasa kwa awamu hii kwa sababu kazi ya taasisi hiyo ni kuhakikisha sheria zinafuatwa na haki za raia zinaheshimiwa na zaidi katiba.
Serikali hii haitaki kufata sheria wala katiba na haitendi haki.
Ukisema sisi ni wanaharakati ni sawa katika kutetea haki za watu ni uharakati hata Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati na uhuru ukapatikana.
Ila hawa wasiotaka kufuata sheria na katiba na kutoa haki wana kitu gani cha gizani wanachohofia kama wanafuata sheria?
Uraisi wa wapi? Angetulia angeweza kuwa waziri siku nyingi.Lakini alishapoteza mwelekeo siku nyingi.Ajiliwaze tu Na huo uraisi wa TLS ambao hata hivyo haumjengi politically zaidi ya kumbomoa Na Wala haumsaidii kupata wateja wazito kwenye Kazi za kiwakiliSidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Yaani akili yako kama ya HERODE kabisa na WANASIASA WA AFRICASidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Sasa unafikiri kila mtu anataka kuwa mwanasiasa na mchumia tumbo... CCM ni kundi la watu maskini na wajinga wasiojua lolote zaidi ya wiziUraisi wa wapi? Angetulia angeweza kuwa waziri siku nyingi.Lakini alishapoteza mwelekeo siku nyingi.Ajiliwaze tu Na huo uraisi wa TLS ambao hata hivyo haumjengi politically zaidi ya kumbomoa Na Wala haumsaidii kupata wateja wazito kwenye Kazi za kiwakili
Tatizo baadhi ya wana TLS hawana uzalendo, wanahimiza uvunjifu wa amani ili wapate kesi za kusimamia, na kibaya zaidi hawana adabu wakidhani kwamba wao wapo juu ya sheriaSource BBC
Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC rais wa TLS bi Fatma Karume kaulizwa juu ya kauli za hivi karibuni za waziri wa mambo ya ndani kumtishia yeye na taaisisi hiyo amejibu kwa kisema.
Kwa miaka ya hivi karibuni TLS imeonekana kama wanaharakati na wachochezi hasa kwa awamu hii kwa sababu kazi ya taasisi hiyo ni kuhakikisha sheria zinafuatwa na haki za raia zinaheshimiwa na zaidi katiba.
Serikali hii haitaki kufata sheria wala katiba na haitendi haki.
Ukisema sisi ni wanaharakati ni sawa katika kutetea haki za watu ni uharakati hata Nyerere na Karume walikuwa wanaharakati na uhuru ukapatikana.
Ila hawa wasiotaka kufuata sheria na katiba na kutoa haki wana kitu gani cha gizani wanachohofia kama wanafuata sheria?
Akili za kipmbvSidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.
Wivu wa kikeUraisi wa wapi? Angetulia angeweza kuwa waziri siku nyingi.Lakini alishapoteza mwelekeo siku nyingi.Ajiliwaze tu Na huo uraisi wa TLS ambao hata hivyo haumjengi politically zaidi ya kumbomoa Na Wala haumsaidii kupata wateja wazito kwenye Kazi za kiwakili
Out of concept out of content. Tuna watu wengi wanaojua kusoma na kuandika lakini siyo kuelewa wala kufanya analysis. Hivi kuna mahali popote hapa ambapo kumeongelewa uchaguzi wa 2020?Sidhani kama Zanzibar iko tayari kuongozwa na mwanamke,angeanza na ubunge kwanza,then akawa ana anapanda mpaka urais .Washauri wake sio wazuri BTW 2020 sio mbali.
Nimeskia sehemu target yake ni 2020 urais.