Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Tegeni sikio ,kuna msituko utawapata waTanganyika hivi karibuni kwani Karume na Seifu wanakaribia kuanza kuipandisha jeki Zanzibar na kuziba na kurepair viraka vyote vilivyosababishwa na Muungano bandia..
Wazanzibari tuhoi kwa matatizo yaliomo na yanayoikumba serikali ya Muungano inayoongozwa na asilimia 99.97 ya WaTanganyika.
Mida si mwingi tutauwacha Muungano kama ulivyo ila kila mtu na sukani yake.