Karume na Seif waanza pandisha jeki

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Tegeni sikio ,kuna msituko utawapata waTanganyika hivi karibuni kwani Karume na Seifu wanakaribia kuanza kuipandisha jeki Zanzibar na kuziba na kurepair viraka vyote vilivyosababishwa na Muungano bandia..
Wazanzibari tuhoi kwa matatizo yaliomo na yanayoikumba serikali ya Muungano inayoongozwa na asilimia 99.97 ya WaTanganyika.
Mida si mwingi tutauwacha Muungano kama ulivyo ila kila mtu na sukani yake.
 
Dhambi ya ubaguzi itaitafuna Zanzibar kama unachosema kitatokea kwa staili unayofikiria. Hii si kanuni ya Mwalimu Nyerere bali ni kanuli ya historia (Mwalimu Nyerere, 1995)
 
Kila mtu na sukani yake sawa.lakini ukiacha jazba na kutuliza kichwa ukawaza na kuwazua ni upande upi ulotegemezi kwa mwenzie? Angalia temeke tu wapemba walivyojazana na frem zao nini namanga kkoo masaki hadi ubungo. Nie ni wafadhilaka mmezoea KUUTIA KASI BORAYEISHE ALAAAA tugawane fito uchuguzi ukifika wake zenu wabara mwawatimua Mpaka mmalize chaguzi zenu ndo ubinadam gani huooo ati ammy.MBONA KULALA AAG .........endeleeni kuramba sijui mwaramba nini
 
Mwiba mbona unafanya harrraaaka saaana ungeacha ikawa sapraiz mna mashushu humu watazimwaga si mda...bai za wei, nawapongeza Seif na Karume kwa hatua hii mpya saana, ila isije kuonekana kuwa Karume ni CCJ maana amechooooooooka kupelekwa pelekwa kama gari la mgojwa.idumu zanzibar zidumu fikra za wazee na masheikh wetu wema, amina
 
[/SIZE]

Dhambi ya ubaguzi itaitafuna Zanzibar kama unachosema kitatokea kwa staili unayofikiria. Hii si kanuni ya Mwalimu Nyerere bali ni kanuli ya historia (Mwalimu Nyerere, 1995)
Mtu mzima hatishwi nyau, achana na mawazo ya ujamaa na kujitegemea yeshapitwa na wakati wenzako wala nchi ww umeachiwa bendera na shina la chama pole ngosha.
 
Mwiba karibu tna JF baada ya muda mrefu

NJe ya muungano hakuna Zanzibar yakhe, hapo patakuwa na serikali ya muungano (Tanganyika na Unguja), alafu patakuwa na Jamuhuri ya watu wa Pemba ambayo ndio miaka nenda miaka rudi Ahmadi anaifukuzia kwa presha kutoka kwa wenye Nchi (Sultan wa Oman), Karume anaweza fanya hivyo kwani watu wa Pemba ni Ami zake na ukoo wetu siye waarabu unakuwa na nguvu upande wa mama, kwa hiyo KArume na Ahmad waweza fanya hivyo yakhe
 
Mtu mzima hatishwi nyau, achana na mawazo ya ujamaa na kujitegemea yeshapitwa na wakati wenzako wala nchi ww umeachiwa bendera na shina la chama pole ngosha.

Mkuu yale si maneno yangu, nakumbukia tu aliyosema Mwalimu. Thibitisha hapa kuwa Wazanzibari hawafaidiki na Muungano. Pia kumbuka kwetu sisi Wabara kuvunjika kwa pakacha ni nafuu ya mchukuzi.
 
Mwiba, habari za jela. Naona kifungo kilikuwa kirefu sana.

This is OLD STAFF. Tumeshazisikia sana hadi zimeleta ukakasi.

Furahisha tu JF Mkuu
 
hhahhhahhhhhaaaaaaaahhhhhhhaaaahahhahahahahhahahahaha:
Isipowasha hunyeza
ooohoohohoohoohohoohooooohhhhhhh
Hata kama sikweli lakini kiberiti kinatikiswa.
 
DSC_2122.JPG

Wazanzibari waache kulaumu bara kwa kila kitu, tatizo Zanzibar sio bara bali uvivu wao.

Hebu angalia hilo kaburi linaombewa na viongozi huku magugu yakiwa yamejaa na, mbaya

zaidi, hao viongozi wanaona sawa tuu . Tatizo la Zanzibar ni UVIVU, muungano mnautumia

kama scapegoat tuu.
 
Hamna lolote lile.. tumeshayasema haya hapa lakini Zanzibar haitoki kwenye Muungano na hakuna kiongozi wa Zanzibar mwenye akili timamu anayeweza kuja na proposal hiyo. Msishangae kundi hilo zima likajikuta linaishia Maweni..
 
Akiingia Maalim Seif Ikulu kitu cha kwanza ataomba aimarishiwe ulinzi kutoka bara. Kitu cha pili ataomba na kufanya kila awezalo Kuimarisha muungano. Je can anyone guess kwa nn Maalim au CUF watahuitaji Muunangano zaidi wakiingia Ikulu ?
 
DSC_2122.JPG

Wazanzibari waache kulaumu bara kwa kila kitu, tatizo Zanzibar sio bara bali uvivu wao.

Hebu angalia hilo kaburi linaombewa na viongozi huku magugu yakiwa yamejaa na, mbaya

zaidi, hao viongozi wanaona sawa tuu . Tatizo la Zanzibar ni UVIVU, muungano mnautumia

kama scapegoat tuu.
Hivim ni kaburi la nani hili?
 
Tegeni sikio ,kuna msituko utawapata waTanganyika hivi karibuni kwani Karume na Seifu wanakaribia kuanza kuipandisha jeki Zanzibar na kuziba na kurepair viraka vyote vilivyosababishwa na Muungano bandia..
Wazanzibari tuhoi kwa matatizo yaliomo na yanayoikumba serikali ya Muungano inayoongozwa na asilimia 99.97 ya WaTanganyika.
Mida si mwingi tutauwacha Muungano kama ulivyo ila kila mtu na sukani yake.
Nawatakia nguvu za kutosha wahusika katika hilo zoezi la kuipiga jeki Zanzibar.Waangalie tu wasituletee earthquake maana tumeshashuhudia za kutosha.
 
Hamna lolote lile.. tumeshayasema haya hapa lakini Zanzibar haitoki kwenye Muungano na hakuna kiongozi wa Zanzibar mwenye akili timamu anayeweza kuja na proposal hiyo. Msishangae kundi hilo zima likajikuta linaishia Maweni..
Kuna watu wanaota ndoto za mchana kweupe...ngoja tuwaache waendelee kuziota.
 
Tegeni sikio ,kuna msituko utawapata waTanganyika hivi karibuni kwani Karume na Seifu wanakaribia kuanza kuipandisha jeki Zanzibar na kuziba na kurepair viraka vyote vilivyosababishwa na Muungano bandia..
Wazanzibari tuhoi kwa matatizo yaliomo na yanayoikumba serikali ya Muungano inayoongozwa na asilimia 99.97 ya WaTanganyika.
Mida si mwingi tutauwacha Muungano kama ulivyo ila kila mtu na sukani yake.
Nafurahi sana jinsi Mwiba unavyopenda kujifurahisha kwa kujipa matumaini ambayo, kamwe na asilan hayawezi tokea, ila sio vio vibaya kuishi kwa furaha ya matumaini ya vifaranga vya kuku kuwa mtaruka kesho, na matumaini hayo kwa kuku huendelea mpaka siku ya kuchinjwa na kufanywa kitoweo.

Kwa mujibu wa katiba, ile kufikiria tuu kuvunja Muungano ni uhaini, Alhaj Aboud Jumbe alipo panafahamika na yaliyomkuta yanaeleweka. Sijadhi kama bado kuna viongozi wengine, wanaotaka kufuata nyayo za simba.
 
Duu hizi ni ndoto za alinacha.....nimesikia Seif is sick na ameahirisha safari akiwa uwanja wa ndege.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom