Karume anawambia nn shein na seif baada ya swala ya eid ?

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
hii nimeikuta kwa michuzi nikawa nnajiuliza hapa anawaaasa kuhusu kuanza kwa kampeni kuwa waanze za kistaarabu, au anawaambia jamani msikubali nchi yenu kurudi tena kwenye mifarakano au nn ?
seif aman shein.JPG
 
Yeye alishindwaje kuzuia hiyo mifarakano Leo awaase wenzie juu ya hilo....
 
na hapa naona utani umezidi wanazidi kukata mbavu,

jee kwenye kampeni zao mambo yataendelea kuwa hivi ?

Seif shein aman.jpg
 
Mtu wa pwani, Karume anakumbusha kitu hapa( ujuwe hao ni rais na makamo wa rais watarajiwa) kuwa Zanzibar tusirudi nyuma mpaka kieleweke.
 
mi nazani anawambia msikubali, WaTaNGANYIKA kuitawala NCHI YETU YA ZANZIBAR kwa kisingizio cha Muungano, kama noma na iwe noma mpaka kieleweke :becky: :playball:
 
Anawaeleza kuhusu athari za Mchwana na Panya .Mchwa anagusha Mjengo , panya hukutafuna (hukungaka)unapokuwa usingizini huku anakupuliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom