Police wanajidhalilisha tu ... hakuna kesi hapo! ... Malima alijifanya baby akanyonya sana chuchu, mwisho akapiga Usingizi wa kutosha pale Moro! Alipoamka akakuta Tanzanite, fedha, Bastola na SMG vimekombwa vyote!!! Police walimsaidia kurejesha Bastola na SMG! ... Swali la Msingi ni Je? Naibu waziri wa bara anaruhusiwa kumiliki silaha za kivita? Hii Double Standard Approach kwenye nchi moja ni SAWA? ... Acheni fitna za kisiasa! Kosa la Mansour ni kujiunga CUF...
Hujitambui nyie ndiye mlikuwa mnapewa hizo silaha mnaenda kuuwa watu ngoja tuwanyoshe mpaka muache ugaidi wenu.Police wanajidhalilisha tu ... hakuna kesi hapo! ... Malima alijifanya baby akanyonya sana chuchu, mwisho akapiga Usingizi wa kutosha pale Moro! Alipoamka akakuta Tanzanite, fedha, Bastola na SMG vimekombwa vyote!!! Police walimsaidia kurejesha Bastola na SMG! ... Swali la Msingi ni Je? Naibu waziri wa bara anaruhusiwa kumiliki silaha za kivita? Hii Double Standard Approach kwenye nchi moja ni SAWA? ... Acheni fitna za kisiasa! Kosa la Mansour ni kujiunga CUF...
Police wanajidhalilisha tu ... hakuna kesi hapo! ... Malima alijifanya baby akanyonya sana chuchu, mwisho akapiga Usingizi wa kutosha pale Moro! Alipoamka akakuta Tanzanite, fedha, Bastola na SMG vimekombwa vyote!!! Police walimsaidia kurejesha Bastola na SMG! ... Swali la Msingi ni Je? Naibu waziri wa bara anaruhusiwa kumiliki silaha za kivita? Hii Double Standard Approach kwenye nchi moja ni SAWA? ... Acheni fitna za kisiasa! Kosa la Mansour ni kujiunga CUF...
Wananikumbusha ishu ya kutengeneza ya visu vya cuf 2000....mahita alijitoaga ufahamu...sijui iliishiaga wapi ile kitu???
Himidi ni jambazi polisi wachukue hatua za kisheria hakuna kumchekea tumechoka kufuga majambazi.
Kumbe nchi ya Zanzibar hawaruhusu kumiliki bastola!
Huku Tanganyika bastola zinapigwa hata kwenye ma baa.